Nisaidieni mdogo wangu jamani jamani!!!!

princes

Member
Joined
Sep 10, 2008
Messages
29
Points
0

princes

Member
Joined Sep 10, 2008
29 0
Ndugu zangu na mdogo wangu anasoma darasa la 7 sasa ila ameshakuwa matured tayari,ila ana
tatizo kubwa la Kutoa harufu mbaya saaaaana mdomoni ni mithiri ya choo.
hasa akiongea hata katika umbali fulani utaisikia harufu ninamsikitikia manake ni kazuri na ni mtoto wa kike
jamani si nitakosa shemeji miye mwenzenu?? ninapomuuliza anajiskiaje husema hajiskii hiyo harufu ila ninafahamu adha
ya harufu ya kinywa plz i need your help colligs.
 
CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Messages
566
Points
225

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2010
566 225
Ndugu zangu na mdogo wangu anasoma darasa la 7 sasa ila ameshakuwa matured tayari,ila ana
tatizo kubwa la Kutoa harufu mbaya saaaaana mdomoni ni mithiri ya choo.
hasa akiongea hata katika umbali fulani utaisikia harufu ninamsikitikia manake ni kazuri na ni mtoto wa kike
jamani si nitakosa shemeji miye mwenzenu?? ninapomuuliza anajiskiaje husema hajiskii hiyo harufu ila ninafahamu adha
ya harufu ya kinywa plz i need your help colligs.
Kitaalamu tatizo linaitwa HALITOSIS.
Kwa kuwa una access na internet, you just surf - mbona vitu vimeandikwa Kiingereza tu, unasoma unafahamu chanzo ni nini, matibabu ni nini!

Pole, kuna njia za kuliondoa au kulipunguza hilo tatizo.
 
jokoz

Member
Joined
Aug 22, 2011
Messages
6
Points
0

jokoz

Member
Joined Aug 22, 2011
6 0
Mpe pole sana maana hata me nakereka sana mtu akiwa anatoa harufu mbaya hasa mdomoni.....mimi kwa ufahamu na ushuhuda, fanya hivi....

NUNUA MDALASINI PAMOJA NA ASALI....KISHA UWE UNAMPA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI KILA JIONI NA ASUBUHI (KIJIKO KIMOJA CHA MDALASINI NA VIWILI VYA ASALI VILE VYA KULIA CHAKULA). AWE ANAKUNYW CHAI ILIYOCHANGANYWA NA MDALASINI.

ILA AKUMBUKE NA UTARATIBU WA KUSWAKI KILA AMALIZAPO KULA HASA USIKU..

jaribu hivyo kwa mwezi ukiona bado mpeleke kwa wataalamu zaidi.
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,823
Points
2,000

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,823 2,000
pole sana...........mwambie awe anapiga mswaki kutwa mara3,mnunulie mouth wash,hata ka ni kazuri akiendelea na hyo kitu hupati shemeji ng'00000
 
Forum statistics

Threads 1,356,356
Members 518,895
Posts 33,131,005
Top