Msaada tafathali

dr.ndodi atakuchuna tu..... huna tatizo ila mambo yako hayana mpangilio(disorganised). jaribu kuwa na note book kama kikwete na kila promise, jambo unalopanga uwe unanote down na kuiweka mfukoni hiyo note book. sasa ukiwa unasahau hata ulipoiweka hiyo notebook basi wewe ni kilaza utahitaji maombi. pia kula natural foods hasa ngano.
vitu vingine google kijana

Hizo ni dalili za unyogovu (depression) au athali za madawa (effects from medications), wakati mwingine usahaulifu unatokana na umri kuwa mkubwa, majeraha ya kichwani, upungufu wa vitamini au kansa ya ubongo, na maambukizo katika ubongo, pamoja na aina ya matatizo na magonjwa mengine.... ikiwemo kukosa usingizi au kutolala kwa muda unaotakiwa.

Sababu za usahaulifu:
Usahaulifu ni sehemu ya kawaida kwenye maisha ya binadamu na haswa anapofikia umri wa kuzeeka. Ila tatizo likiwa kubwa basi ni dalili ya matatizo mengine ijapokuwa wataalam bado hasa kujua kunasababishwa na nini, ingawa hivyo nilivyovitaja hapo juu, vinachangia kwa asilimia kubwa sana.
Magonjwa mengine yanayochangia ukiondoa uzee, ni ugonjwa wa mishipa (Alzheimers). Maumivu ya kichwa ( Head trauma ), upungufu wa baadhi ya vitamini, Magonjwa sugu, uvimbe wa ubongo, madhara kutokana kutumia madawa (medications), magonjwa ya ubongo, kupooza, na hata wasiwasi au unyogovu hivi vyote uweza kusababisha usahaulifu...

Ushauri:
Angalia life style yako, ikiwemo aina ya vyakula, malazi, kama una matatizo mengine ya kiafya, la msingi ni kwenda kwa daktari au tabibu mtaalam wa magonjwa ya akili ili kujua afya yako, au unaweza kwenda kupima full scan ya magonjwa mbali mbali ili kujua nini tatizo.

jara ukacheck kisukari,maana wagonjwa wa kisukari wana,hilo tatizo.jengine jaribu kuwa stress free.huo sio ugonjwa ila unahitaji counsul

Hizo ni dalili za unyogovu (depression) au athali za madawa (effects from medications), wakati mwingine usahaulifu unatokana na umri kuwa mkubwa, majeraha ya kichwani, upungufu wa vitamini au kansa ya ubongo, na maambukizo katika ubongo, pamoja na aina ya matatizo na magonjwa mengine.... ikiwemo kukosa usingizi au kutolala kwa muda unaotakiwa.

Sababu za usahaulifu:

Usahaulifu ni sehemu ya kawaida kwenye maisha ya binadamu na haswa anapofikia umri wa kuzeeka. Ila tatizo likiwa kubwa basi ni dalili ya matatizo mengine ijapokuwa wataalam bado hasa kujua kunasababishwa na nini, ingawa hivyo nilivyovitaja hapo juu, vinachangia kwa asilimia kubwa sana.

Magonjwa mengine yanayochangia ukiondoa uzee, ni ugonjwa wa mishipa (Alzheimers). Maumivu ya kichwa ( Head trauma ), upungufu wa baadhi ya vitamini, Magonjwa sugu, uvimbe wa ubongo, madhara kutokana kutumia madawa (medications

nashukuru sana kwa ushauri wako ni kweli mara nyingi nachelewa sana kulala.

Back
Top Bottom