Msaada: Tumbo

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
12,179
Points
2,000

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
12,179 2,000
habari zenu wakuu. ebwana wakuu kuna katatizo kananisumbua saivi kuhus tumbo. yaan unakuta frequently kama linaunguruma ivi au kama la kwenda haja halaf hata ukienda haja ni soft faeces hata kama nimekula kitu gumu. je hii ni nini na inasababishwa na nini? sometimes nakosa hata ham ya kula coz najua nikila mda so mrefu tumbo linabana la kwenda haja
 

Forum statistics

Threads 1,355,558
Members 518,682
Posts 33,112,212
Top