Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

`Maji ni uhai, Uhai ni maji', ‘Maji ni mhimu kwa afya', ni maneno ya kawaida masikioni pa watu wengi. Lakini ni kwa namna gani maji ni uhai?. Inavyoonekana, watu wengi...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Siku hizi akina dada wengi wanafanya mambo ya kuigiza zaidi ya asilia,mfano kuwa na makalio(kigoda) ,matiti,hips,miguu ya kufyatua aka mchina .athari zake wanazijua au wanataka kumaliza madawa...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
hey wana Jf doctor. habari zenu? tatizo langu kubwa linalonikumbuka ambaklo si masiara ni kitendo cha kuhisi usingizi mzito pindi ninapotoka lunch break nikiwa kazini. nafaham kidogo kuhusu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa kawaida ukilima bustani unaimwagilia asubuhi kabla jua halijawa kali, na hata ukitembea umbali mrefu na gari na maji yakiisha katika injini hushuki tu na kuongeza maji mengine papo hapo...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari za leo ndugu zangu, tafadhali nisaidieni, hivi kuna tofauti gani kati ya- a. Nurseing b.phamarcy msaada tafadhali ili nielewe hizo taalum,
0 Reactions
6 Replies
2K Views
tumezoea kuona wanawake wengi baada ya kujifungua wanakuwa km wamefunguliwa kunenepa/kufutuka,ambapo kwa watu km sie wanawake wanene hatuwapendi na pia kama nimeshasababisha siwezi kumwacha...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenyu wandugu naomba kuuliza je ni kweli matumizi ya kinakilishi kwa mda mrefu huathiri macho?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna kijana tupo nae mtaani, tatizo lake kila akinywa pombe, akilala lazima ajinyee na kujikojolea. Je! Tatizo ni nini?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey Great Thinkers lets discuss this very sensitive topic. Ni hali ya mwanamke kupata cycle yake bila kuzalisha eggs. Ni type ya infertility. Take out factors like abortions, issue za many...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Habari zenyu jf nafikiri wote ni wazima na vile vile poleni kwa wale wenye matatizo kwani matatizo ni sehemu ya maisha! Tatizo langu ni kuhusu hii nishati mbadala yaani umeme wa jua.nimefunga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie plz,mi nimeajiriwa hivi karibuni na kampuni inatumia aar insurance. Nina kadi ya premier,je naweza itumia kumwona dentist?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
jamani kunajaa anaomba msaada wenu anadai kua kila anapokwenda haja kubwa anasikia maumivu na wakati mwingine hadi damu inamtoka.tatizo inaweza kua ni nini? nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenda haja ndogo mara kwa mara na kuamka ilhali uume umesinyaa kuna dawa msaada wenu jamani niokoe raia huku uswahilini ninapoishi................
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Ndugu msomaji nimeona ni muhimu kuandika tofauti ya ugonjwa wa kaswende na kisonono kwa sababu kumekuwa na idadi kubwa ya wagonjwa ambao wanapotoa maelezo au malalamiko yao wamekuwa wakichanganya...
2 Reactions
11 Replies
22K Views
Wana JF naomba msaada. Napendelea zaidi zoezi la kukimbia, na hufanya hivyo kwa kiasi cha dakika 40. Lakini huwa nasumbuliwa na maumivu ya kifua saa chache baada ya mazoezi haya. Sipendi kuacha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau Tunapoelekea Yani lazima Kila mtu ajue afya yake labda Usipende kupata mtoto Maana Huu mtindo Mtu akipata Mimba lazima apimwe mh Hapa na Czn wangu anataka kutoa mimba kisa anaogopa du wadau...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
.....nahitaji elimu ya kuhusu bikra ya mwanamke. Nina maswali mengi:- 1. Hii bikra haswa ni kitu gani? 2. Wanaposema bikra inavunjwa au kupoteza usichana je nini hasa kinatokea kwa huyu mwanamke...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mke wangu anaujauzito wa wiki sita sasa, na ni ujauzto wa kwanza. Amekua akitapika sana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yani chakura hakikai. Kuna dawa inaitwa NOSIC nimesoma kwenye net inaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nauliza, haya meno yenye florin nyingi hadi kubadilika rangi yanaweza kurudi kuwa meupe? Kama yawezekana, ni wapi hii huduma inapatikana?
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom