Kwanini wanazidisha?

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Siku hizi akina dada wengi wanafanya mambo ya kuigiza zaidi ya asilia,mfano kuwa na makalio(kigoda) ,matiti,hips,miguu ya kufyatua aka mchina .athari zake wanazijua au wanataka kumaliza madawa yetu mahosipitalini hapo siku zijazo?
 
Back
Top Bottom