Tatizo...!!!.


donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,240
Likes
5,208
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,240 5,208 280
hey wana Jf doctor. habari zenu? tatizo langu kubwa linalonikumbuka ambaklo si masiara ni kitendo cha kuhisi usingizi mzito pindi ninapotoka lunch break nikiwa kazini. nafaham kidogo kuhusu digestion process etc. lakini nashindwa kuelewa 'coz nikiwa home wala tatizo hili halinikumbi. Naomba muongozo tafadhali. Muito Obrigado
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified User
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
84
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified User
Joined Sep 1, 2011
3,237 84 135
kumbuka kunywa maji ya kawaida glasi 2 (ml 500) kila nusu saa kabla ya chakula na glasi moja nyingine masaa 2 kila baada ya chakula. maajabuyamaji2.artisteer.net
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,107
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,107 280
pole mkuu acha kula mchan uone inakuaje.......................huh
 
A

Albimany

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
282
Likes
40
Points
45
Age
39
A

Albimany

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
282 40 45
hey wana Jf doctor. habari zenu? tatizo langu kubwa linalonikumbuka ambaklo si masiara ni kitendo cha kuhisi usingizi mzito pindi ninapotoka lunch break nikiwa kazini. nafaham kidogo kuhusu digestion process etc. lakini nashindwa kuelewa 'coz nikiwa home wala tatizo hili halinikumbi. Naomba muongozo tafadhali. Muito Obrigado
Kunya kahawa au chai yenyerangi nyingi (majani yachai mengi) baada tu ya kumaliza chakula.
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,240
Likes
5,208
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,240 5,208 280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,240
Likes
5,208
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,240 5,208 280
kumbuka kunywa maji ya kawaida glasi 2 (ml 500) kila nusu saa kabla ya chakula na glasi moja nyingine masaa 2 kila baada ya chakula. <u>maajabuyamaji2.artisteer.net</u>
<br />
<br />
shukran mkuu kwa uongoz wa wota therapy
 
kamili

kamili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
796
Likes
166
Points
60
kamili

kamili

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
796 166 60
Mkuu hiyo hali ni ya kawaida kwa watu wote. Isipokuwa kuna watu wanahisi usingizi zaidi kuliko wengine baada ya kula, hiyo inatokana na tofauti ya maumbile. Kisayansi sababu ni kuwa baada ya kula damu nyingi huenda tumboni ili kufyonza viinilishe vilivyoliwa na kuvisafirisha hadi kwenye ini na sehemu nyingine. Hali hiyo hupelekea damu inayokwenda kwenye ubongo kupungua na hivyo kujisikia usingizi. Na sababu ya pili ni kuwa viungo vyote vya ndani vinaongozwa kufanya kazi yao na aina mbili ya mishipa ya fahamu. Wa kwanza unaitwa sympathetic na wa pili unaitwa parasympathetic. huu wa pili Parasympathetic ndio unaoshulika na kuratibu uyeyushaji na ufyonzaji wa chakula. Na wakati ikitimiza majukumu hayo husababisha mwili ulegee na kuleta usingizi. Lakini mara baadha ya kumaliza majukumu hayo ulegevu huisha na usingizi kutoweka.
Kwa hiyo usiwe na wasiwasi na hali hiyo.
 
HAZOLE

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
1,372
Likes
96
Points
145
HAZOLE

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
1,372 96 145
SIMPLE, jaribu kushiba asubuhi na ule kidogo tu mchana. kula wanga kidogo na fruits nyngi na maji mengi...punguza ukubwa wa lunch.
 

Forum statistics

Threads 1,215,854
Members 463,433
Posts 28,561,931