Ni sawa kuamka asubuhi ilhali uume umesinyaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sawa kuamka asubuhi ilhali uume umesinyaa

Discussion in 'JF Doctor' started by ABDUL KIBAZO, Aug 29, 2011.

 1. ABDUL KIBAZO

  ABDUL KIBAZO Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenda haja ndogo mara kwa mara na kuamka ilhali uume umesinyaa kuna dawa msaada wenu jamani niokoe raia huku uswahilini ninapoishi................
   
 2. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  huna nguvu za kiume,kukojoa kojoa kwako kunadhihirisha zaidi
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kisukari hicho.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kabla ya yote kapime suKari kama utaonekana salama na hauna matatizo mengine ya afya hiyo ni dalili mbaya anza kufanya mazoezi haraka.
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mpe raia pole na muwaishe hospital sio kwa babu.
   
 6. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  Naona kuna kitu watu wengi huwa mnakisahau...kwanini uume husimama?..naamini kuna sababu kama 2 za msingi amabazo kama hazipo basi hakuana sababu yoyote ya wewe kulalamika uume hausimami..iwe asubuhi usiku au hata jioni
  1- kubanwa na haja ndogo kwa kipindi cha kutosha .... Hapo ni lazma uume usimame ili uende kukojoa
  2- hamu ya kufanya mapenzi- kama unahitaji kufanya mapenzi au hisia zako umezielekeza kwenye kufanya mapenzi au hata umemwona binti akakutamanisha unakuta kitu inaenda winga... Hii haijalishi unasukari wala nini.. Ni simpo baioloji tuu.

  Sio lazima kila ukiamka asubuhi kitu iwe imesimama... Umekojoa saa 9 usiku umeamka asubuhi huna mkojo wa kutosha unataka isimame ili iweje?...hujamfikiria hata demu wako wa zamani unachowazia ni madeeni unayodaiwa na nguo za watoto za ckukuu unataka kitu isimame ili iweje??

  Kati ya viongo inteligent kuliko vyote kkwa mwanadamu wa jinsia ya kiume ni "uume"... Ukiwa fresh kisaikolojia lazma ukudai kutendewa haki na ndipo hapo uume husimama hata ukiona chupi za kina dada zinauzwa dukani...na husimama hata akipita mwanaume mwenye maungo ya kikekike..... Tujifunze kujitambua baiolojia zetu.
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Who Cares naona tatizo lako kama la mleta mada yaani uamke asubuhi na mlingoti haujasimama ? unafahamu ukiwa na tatizo la kudinda swali la kwanza daktari anauliza huwa lipi ? -'ukiamka asubuhi huwa mkia uko vipi' ?
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  eeeh ulishawai kuwa na hiyo dalili?
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kiukweli asubui k2 lazima kiwike na kisipo ujue kunatatizo na akuhitaji uwe na mkojo or nn na ninjia mojawapo yakujua kama unaumwa
   
 10. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tatizo hilo wahi hsptl
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Duh! Kumbe mkiamka asbh ni balaa downstairs kwenu!
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  kusinyaa au kuwa erect inategemea vigezo vingi...
  umri,afya,chakula,hali ya hewa,ndoto,mkojo etc...ila kukojoakojoa ucku cheki sukari
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  ni lazima kidude kierect ndio ujulikane mzima?
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,119
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mi nilishawahi kukaa na mtu mwenye sukari, yaani kanasinyaa kama ka mtoto mchanga, then hata akikojoa mkojo unatoka na kau-slow fulani, ni vema ukaiangalia sugari yako, then uzingatie lishe na mazoezi MUNGU atakujalia tu.
   
 15. ABDUL KIBAZO

  ABDUL KIBAZO Member

  #15
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  danks kwa ushauri wenu...............................!
   
Loading...