Anovulatory MP

morio

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
210
Points
0

morio

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
210 0
Hey Great Thinkers lets discuss this very sensitive topic. Ni hali ya mwanamke kupata cycle yake bila kuzalisha eggs. Ni type ya infertility. Take out factors like abortions, issue za many partners, magonjwa ya zinaa. It is just a woman who was fertile anapoteza fertility kwa natural causes. Tujadili causes zake na treatment.

Plz kama huna information za kushare ambazo ni educative soma za wengine tu usijaze pages.
 

Forum statistics

Threads 1,379,581
Members 525,451
Posts 33,749,681
Top