Jf doctors naombeni msaada kwenye hili la bikra....

mkurugenzi1

Senior Member
Mar 22, 2009
122
28
.....nahitaji elimu ya kuhusu bikra ya mwanamke.
Nina maswali mengi:-
1. Hii bikra haswa ni kitu gani?
2. Wanaposema bikra inavunjwa au kupoteza usichana je nini hasa kinatokea kwa huyu mwanamke.
3. Mwanaume anapoivunja hiyo bikra je kuna ufundi wowote unaofanywa na mwanaume?
4. Mwisho niwashukuru kwa misaaada yenu mnayotupatia...
 
kuna wenye bikira siku hz kaka? Mtoto wa drs la 3 tu hana,hawa madada wa siku hzi sijui wakoje
 
hata wanaume wana bikira ndugu. bikira ni hali ya upya wa kutokutana kimwili na yeyote. ngoja mafundi mchundo waje wajibu sehemu yao,mie soshoweka tu.
 
hata wanaume wana bikira ndugu. bikira ni hali ya upya wa kutokutana kimwili na yeyote. ngoja mafundi mchundo waje wajibu sehemu yao,mie soshoweka tu.
<br />
<br />
naomba reference!!!
 
madaktari wanakimbia kuweka mambo hadharani......
.....ukipata eilmu shurti uwapatie na wenziio...
 
maneno yako makali sana kwanini ivunjwe imekua sahani au glass hiyo?
 
Bikra ni ile hali ya mwanamke kabla hajafanya na mwanaume yeyote tendo la ndoa,mara nying wasichana wengi huwa na ki2 kinaitwa 'hymen',ni layer lain kidog inayofunika kwa ndan ya uke,kwahiyo anapo do kwa mara ya kwanza uume hutafta njia na kuifanya hymen iachie,mara nyng dam hutoka na hapo ndipo msemo 'kuvunja bikra' unakubal.c lazma hiyo hymen iwepo pia na c lazma mwnamk atoe dam,yote inatokana na utofauti wa maumbile ya uke..
 
Back
Top Bottom