Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Amdalasini ukichanganya na asali inasaidia kuleta ashki?
0 Reactions
33 Replies
12K Views
How many times do you clear out your medicine cabinet? It has been a while since I have done it, but if I remember I try to check the date on medicines before I take them. However, I have found...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi wana jamvi! Nina tatizo nahitaji msaada wa maoni na ushauri wa kitaalamu au uzoefu, mzee wangu ana tatizo la kisukari kwa muda sasa lakini hivi karibuni limejitokeza tatizo lingine la mtoto...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karafuu ina umuhimu au madhara gani ikitumika kwa kuitafuna na kumeza. Watalam naombeni ufafanuzi.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
habari,zenu,naomba,kwa,anayefahamu,dawa, ya,kuondoa,mikunjo,machoni,imetokana,na,dawa,mbalimbali,katika,harakati,zakuondoa,chunusi.mwenye,kufahamu,please,msaada,unahitajika haraka.
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Zipo faida nyingi za kidimi na pia kisayansi. Mi naongelea zaidi ki sayansi japo nakaribisha wadau kuendeleza au kukosoa ntakapoishia. 1.Inapunguza unene 2.Inapunguza/kuondoa sumu mwilini...
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Habari zenu wana JF.. Nilienda hospitali kwa ajili ya check up.. Majibu yaliyokuja nikaambiwa mayai yangu hayakomai hivyo lazima nitumie dawa nikitaka kuconceive, nimepewa dawa lakini sijaanza...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
SIKU zote mwanamke awapo mjamzito huwa na matarajio makubwa ya kukipata kiumbe chake ambacho huwa ni faraja ya pekee maishani mwake. Lakini inapotokea mwanamke huyo akashindwa kukipakata kiumbe...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Prof. Mwandosya vipi..anaendeleaje jamani? Ni muda umepita sasa, hatujasikia updates za afya ya huyu jamaa. Wenye habari kuhusu afya ya huyu jamaa naomba mnijuze.
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti yakuwa dawa ya kikombe cha babu imethibitishwa kuwa haikuwa na uwezo wa kutibu.Taarifa hii ni matokeo ya utafiti wa NIMRI.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajanvi naomba anayefahamu dawa au daktari au hospitali yoyote inayoweza kunisaidia anishauri.Nilifanyiwa upasuaji mwaka 2011 wa goti kwenye mfupa(patela) wa mbele pembeni.Tangu hapo goti langu...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mti wa Mwarubaini (Neem) KATIKA karne hii ya sayansi na teknolojia, Mwenyezi Mungu amewajaalia baadhi ya wanadamu (Madaktari) kuwapa taaluma (elimu) ya kufahamu maradhi yanayosumbuwa...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Ndugu wanajamii humu ni wiki moja imepita nimeshuhudia mtoto akitapika damu kwa wingi hadi niliogopa kwani sija wahi kuona tatizo kama hilo. Hivi tatizo hili linatokana na nini? Na matibabu yake...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Heshima kwenu waungwana. Naomba kujuzwa hospitali inayotoa huduma bora zaidi kwa kinamama wakati wa ujauzito na kujifungua. Zilizo mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
rafik yangu kanitumia email hii,nikaona sio vibaya nikaiweka jamvin; If I take a trip down memory lane, just a few years ago, the Aga Khan Hospital-Dsm (AKH) was one of, if not the best...
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Mwanamke akitaka kupata mototo baada ya kuacha kutumia dawa za uzazi wa mpango, anatakiwa akae muda gani ndipo apate mimba? na wakati huo wa kusubiri afanye nini? nauliza hivyo kwavile nimesikia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1 FAIDA YA MATUMIZI YA TENDE KATIKA KUONGEZA KINGA YA MWILI NA TENDE ni chakula chenye hali ya juu ya sukari na huliwa zikiwa mbichi au mbivu. Katika kila gramu 100 (100gm) ndani yake mna lishe...
1 Reactions
6 Replies
12K Views
Utafiti uliofanywa nchini Marekani hivi karibuni umetoa matokeo ya kushangaza kwa kusema ya kwamba matumizi ya dawa za usingizi huongeza hatari ya kupata saratani pamoja na mtu kufa mapema...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
We have all heard of the BP oil spill, and know that this crude oil is very harmful. But do we really know the harms? Crude oil is filled with toxic properties, and when these toxins become...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom