Vipi Afya ya Prof. Mark Mwandosya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Afya ya Prof. Mark Mwandosya?

Discussion in 'JF Doctor' started by reformer, Sep 9, 2011.

 1. r

  reformer JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Prof. Mwandosya vipi..anaendeleaje jamani? Ni muda umepita sasa, hatujasikia updates za afya ya huyu jamaa.
  Wenye habari kuhusu afya ya huyu jamaa naomba mnijuze.
   
 2. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Suala la msingi pia ni kipi kilichomsibi ghafla akiwa katikati ya kikao cha bunge na hadi leo hii amekaa kando....
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  nilisikia anasumbuliwa na kansa ya damu na hali yake bado ni tete yuko india hajarudi na habari nyingine nilizo zikia kuwa yule mpinzaniwake wa ubunge mbeya amesha anza kampeni za chini kwa chini ili aweze kuchukua jimbo kwani punde prof atakapo rejea kutoka india ataachia ngazi kote kuanzia ubunge hadi uwaziri.
   
 4. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mungu apishilie mbali...............kuna mtu alinieleza a week ago, kuwa hali yake ilikuwa sio nzuri sana. Ee Bwana YESU nakuomba damu yako iliyomwagika pale Kalvari imponye baba huyu. Naamini katika uponyaji, kama ulimfufua Lazaro naamini utamponya baba huyu maana kama Martha na dada yake walivyolia na kuomboleza kwa ajili ya kaka yao, nami nakulilia kwa ajili ya baba huyu. Kama vile Dorkas alivyoombewa uhai tena kwa vile alikuwa anawashonea mitume makanzu, nami naomba uponyaji wa baba huyu kwa vile elimu yake na maarifa yake ni tunu kwa Watz.

  Jina lako litukuzwe............Amen
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa nini jamaa asijiudhuru mapema then aendelee na matibabu?
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nisilowezekana kwa binadamu kwa MUNGU linawezekana; tunamuombea mwenyezi aweke mkono wake juu ya maradhi yanayomsibu! As long as hakati tamaa maradhi haya atapona.
   
 7. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Amen Mchungaji...duu!
   
 8. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mimi nakumbuka niliomba sana kwa ajili ya baba yangu na akafa mwaka 2005. Tena tukalia sana familia kwa ajili ya mama akafa July 2011. Kama

  faili lake Mungu keshalitoa kwenye Shelf basi Liwe liwalo kazi ya Mungu haina makosa.Tanzania ipo na itaendelea. CCM WANGA.
   
 9. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Amen, amen, amen.
   
 10. Mvuni

  Mvuni JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  AMEN!

  Ntambaswala,

  Asante kwa maombi yako mazito yaliyojaa upako wa neno la Mungu.
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Lets pray for him,Mungu amsimamie katika machungu na mateso ya ugonjwa,imekuwa kama ghafla hivi akiwa Mbeya kumnadi Sambala kuchomoka toka Chadema alionekana mzima sana
   
 12. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Hivi inawezekana? Maana mwenzie EL alienda kuombewa Nigeria yeye kaenda kujisalimisha India ambako mara zote kazi yao ni kuwamalizia wanaochelewa kuondoka.

  Huyu Jamaa Elimu yake siyo tunu kwa Taifa kama muombaji anavyo mwambia Mola, Mola, Rabbi na Jalali anaona na kujuwa kila kitu, huyu Jamaa anafanya kazi ambayo haiitaji hata Degree moja, ni elimu ambayo tuliipoteza na haitumiki kwa maslahi ya kujenga nchni yetu. Sidhani kama tunasomesha watu wawe Maprof ili wakawe wanasiasa na wabunge, Mbona wapo Darasa la Saba wabunge wazuri na wanaotetea Watanzania kuliko hawa mbwa mwitu!

  Huyu Jamaa amekuwa Bungeni miaka yote sijawai kumsikia akitoa hata sauti yake kwa ajili ya kutete Maskini wa nchni hii, ni watu wanao amini katika utu wao binafsi na kujenga familia zao huku mamia kwa mamia wakila taabu na wao wakila raha na watoto wao. Hana faida yoyote kwa Umma bali kwa familia yake pekee.

  Ee Mwenyezi Mungu umuhukumu kwa kadri ya dhambi zake, maana umesema kila nafsi itaonja mauti, na iwe hivyo.
   
 13. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hii ni pumba na chuki binafsi labda, tangia aingie ubunge mwaka 2000 amepita bila kupingwa jimboni kwake, amefanya kazi kwa vitendo nenda ukaone miradi na kazi alizofanya jimboni (umeme, maji, shule, barabara...etc)...kwasababu alikuwa waziri serikali tawala muda wote, maswali yote ya maendeleo yameulizwa kwa maandishi...hiyo ndo etiquette ya bunge
   
 14. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa taarifa nilizopata mzee amerudi ila hali sio nzuri amepumzika tu nyumbani na kinachosubiriwa apate nafuu na kung'atuka kwenye siasa.
   
 15. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kuweka Umeme, Maji, Barabara siyo kazi ya Mbunge labda kama unasinzia kufikiri.

  Chuki binafsi zipi? Pumba unazo wewe na wazazi wako waliokuzaa, hana msaada wowote huyo Mungu anajuwa.
   
 16. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Huyu Jamaa alipoteza muda wake kusoma, sikubaliani na watu wanaopoteza fedha nyingi kwenye elimu kwa ajili ya kuja kugombe Ubunge.
   
 17. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mungu Baba mponye Mtumishi wako...
   
 18. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #18
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  BornTown wacha hiyo maneno yawezachazua hali ya hewa bure! Mtu akiugua mwombee tu apone. Mambo ya kazi tuyajadili akiwa na afya njema.
   
 19. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Atapona tu.
   
 20. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #20
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Jamani punguza kidogo makali. Utaumiza nafsi za wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki wa huyu ndugu. Mgonjwa ni kumwombea apone. Mengine yatafuata akiwa mzima.
   
Loading...