Ninatatizo la nyonga mwenye ufahamu na hilo naomba msaada.

kuna massage cream moja nzuri sana inayoweza kukusaidia sana inaitwa heat lotion...kama vp pm kwa maelezo zaidi
 
Mkuu@mashambani kwao (1) Dawa ya maumivu ya Nyonga tumia Moja wapo wa hizi dawa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu zitaweza kukusaidia.

Utwange Gramu 6 za mbegu za harmal achanganye na maji ya Uvuguvugu glasi moja awe anakunywa kutwa mara 3 kabla ya kula kitu kila siku kwa muda wa siku 12 inshallah atapona. kila akitumia afanye hivyo.

(2)Na ingine hii chemsha na maji Maganda ya limau kisha kuchemka awe anakunywa kutwa mara 3 glasi moja ya hayo maji kabla ya kula kitu Asubuhi,Mchana na usiku kwa muda wa siku 12 atapona inshallah.

(3) Na ingine hii Pata Asali safi mbichi ya nyuki changanya na unga wa mbegu za Harmal gram 5 awe anakunywa kutwa mara 3 Asubuhi kijiko kimoja cha kulia wali mchana kijiko kimoja na usiku kijiko kimoja kwa muda wa siku 12 atapona inshallah. awe anafanya hivyo kila wakati anapotumia hiyo dawa.

(4)Na hii ingine dawa ya kutibu hayo Maradhi ya nyonga Upate mafuta ya Hina uwe unamfanya masaji sehemu ile inayouma kwenye hiyo nyonga kila siku kutwa mara tatu kwa muda wa siku 12 inshallah atapona.

(5) au hii ya mwisho upate Mafuta ya lozi (mlozi) uwe unafanya masaji kama unavyo fanya kwa kutumia mafuta ya Hina inshallah atapona.

N.B Muhimu Dawa namba 1 Au dawa namba 3 unaweza kuchaguwa kutumia mojawapo kati ya hizo mbili sio kutumia zote 2 kwa wakati moja. Na zilizobakia waweza kutumia zote. Tumia kisha unipe Feedback.
 
mzizimkavu asante kwa ushauri wako,lakini naomba niulize hiyo *harmal* nitapata wapi mimi nipo bagamoyo.
Waulize Waarabu wa huko Bagamoyo wataweza kukupatia hiyo (Harmali) au kaulize kwenye maduka wanayouza Madawa ya kiarabu utapat hiyo Harmali ungelikuwa upo Dar ningelikuambia uende Sokoni Kariakoo Mtaa wa pemba kuna wauza Madawa za kiarabu wangelikupatia hiyo (Harmali) mashambani kwao
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom