Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

najua inaweza kuonekana kama nia ajabu lakini ninapata hii hali mara kwa mara ninapokuwa nakula nyama ya aina yoyote mpaka nashindwa kuelewa. ni mzima wa afya kabisa but ninapokuwa nakula nyama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kujua dawa zakiasili zinazotibu weusi chini ya macho
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mafuta au losheni gan inafaa kwa ngozi yenye mafuta
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman ninatatizo la uvimbe kwenye pubic sehemu ya kulia na mda mwingine uvimbe huu ushuka hadi kwenye korodan moja ya upande wa kulia,lakini ajabu ni kwamba uvimbe huu mda mwingine uleta kitu kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF? Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu, ila ni mfuatiliaji mzuri wa JF .:wave::wave::wave: Naomba msaada wa kujua ni hospitali ipi / zipi kwa hapa Tanzania wanatoa matibabu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu ambo siyo aidha tabibu meno, au daktari wa meno kutoa huduma ya kung'oa meno watanzania katika maeneo mbalimbali hapa Tanzania. Madhara yake ni mengi sana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu kuna mtu anauza mafuta ya mbegu za ubuyu, kati ya Tsh 40,000 na 60,000. Swali je nini kimeyapa mafuta haya thamani kubwa kiasi hicho kwa muda mfupi? Pia naambiwa matumizi ni kuyala mabichi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KUMEKUA NA ONGEZEKO KUBWA LA KUZALIWA KWA WATOTO WENGI WA KIKE KULIKO WAKIUME. MOJA SABABU AMBAZO HAZIJATHITISHWA NA WATAALAMU NI KWAMBA, WANAUME WAVUTAO SIGARA KWA WINGI NI VIGUMU KWAO KUPATA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nina tatizo la mba kichwani ambalo ni la mda mrefu.ni hivi nikiziacha nywele zangu kwa mda wa mwezi nywele zinakuwa na mba aina ya ungaunga na kuniwasha sana tena nikizichana bila kutia maji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ugonjwa wa Ebola waripotiwa kuingia kijiji cha Bulongo, Karagwe- Kagera. Mtoto 1 wa miaka 6 amegundulika kuwa na dalili zote za ugonjwa huo. Source Radio 1 Stereo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume unaweza piga bao ngapi wakati wa mapenzi mpaka ziishe zote.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
J.D.M Health Consultanttunahusika na utoaji wa ushauri wa afya hasa kwa magonjwa yanayotokana namaisha tunayoishi hivi leo (life style diseases) kama kisukari, shinikizo ladamu, saratani, vidonda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Breaking:NEWZ! wanasayansi wa tanzania wamechunguza na kugundua pia KINYESI CHAWEZA SABABISHA MAMBUKIZI YA UKIMWI(ukosefu wa kinga mwilini) Kwa hivyo basi ni vyema kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
bINTI WAgeti kali yuko ana ujauzito wa miezi mitatu anahaha anataka nimsaidie kuchomoa mimba ya mitatu,,, maana ana mchumba wake yuko Abu dhabi na amekaribia kurudi nchini sasa anahisi ndoa ndo...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Drinking warm water...! From Yahoo A very good article which takes two minutes to read. Heart Attacks And Drinking Warm Water This is a very good article. Not only about the warm water...
1 Reactions
0 Replies
897 Views
Naomba kujuwa dawa ya asili kusaidia mayai kupevuka, pia sijisikii hamu ya tendo la ndoa kabisa yaani sina ashki na mume wangu. I'm serious please saidia ushauri nifanyeje au niende wapi nitasaidiwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
J.D.M. Health Consultanttunahusika na utoaji wa ushauri wa afya hasa kwa magonjwa yanayotokana namaisha tunayoishi hivi leo (life style diseases) kama kisukari, shinikizo ladamu, saratani, vidonda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The deadly Ebola virus has killed 14 people in western Uganda this month, Ugandan health officials said on Saturday, ending weeks of speculation about the cause of a strange disease that had...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
" KENYA: Leah, "I don't want to get to third-line ARVs" NAIROBI, 2 August 2012 (PLUSNEWS) - An estimated six million HIV-positive Africans are receiving life-prolonging antiretroviral treatment...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom