Kisukari na matibabu ya mtoto wa jicho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisukari na matibabu ya mtoto wa jicho

Discussion in 'JF Doctor' started by andalwisye, Jul 31, 2012.

 1. a

  andalwisye New Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hodi wana jamvi! Nina tatizo nahitaji msaada wa maoni na ushauri wa kitaalamu au uzoefu, mzee wangu ana tatizo la kisukari kwa muda sasa lakini hivi karibuni limejitokeza tatizo lingine la mtoto wa jicho ambapo hawezi kuona kabisa. Baada ya kutafiti matibabu yake inaonekana anahitajika kufanyiwa upasuaji mdogo ili kuondoa mtoto wa jicho. Napenda kufahamu ni Hospitali gani nzuri kwa matibabu hayo kwa Dar es Salaam na je upasuaji mdogo hauwezi kuwa na madhara zaidi kwa mgojwa wa kisukari?
   
 2. S

  Short white Senior Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole kwa mzee!
  Mtoto wa Jicho ni one of long term complications of Diabetes Mellitus. Ni ugonjwa ambao unaweza kutibika kwa upasuaji. Kwahiyo mpeleke Muhimbili au CCBRT kwa matibabu. Jambo la msingi ni control of blood sugar , before/during/after surgery. All the best
   
Loading...