Habari wana Jf.
Heb wataalamu wa macho wanijuze,kuwa eti macho au jicho kutetemeka kwa muda mfupi na kujirudiarudia,huwa inasababishwa na nini?
Karibuni...
HIV Is Not the Cause of AIDS
By Peter H. Duesberg
Science, Vol. 241, pp. 514-517,
July 29, 1988.
Human immunodeficiency virus (HIV) is not the cause of AIDS because it fails to meet the...
Nina mdogo wangu kwa muda mref amekuwa na dalili kama za kisukari, miguu mikono sehem za uso nashingo huwa znakufaganzi yaani akijishka anajiona very soft na pia mapigo ya moyo humwenda mbio then...
Wanasayansi wa kijerumani wameeleza hakuna kitu kiitwacho HIV(virusi) chenye kuleta maambukizi ya virusi vya ukimwi, maelezo zaidi tazama katika link hii...
Kwenye medical ethics kuna kipengele cha kutotoa taarifa za mgonjwa hata kwa ndugu bila ruhusa ya mgonjwa. Pia ugonjwa wa mtu ni siri yako wewe na mgonjwa, hata madaktari wasiohusika hawaruhusiwi...
Wakuu habari. Naomba anayefahamu anakopatikana specialist wa matatizo ya wanawake hasa ya uzazi (gynaecologist) anisaidie. Itakuwa vizuri zaidi akiwa hapa Dar. Msaada wenu wakuu wife anataabika...
Wakuu,naomba tujadili.Kila mwaka maambukizi yanaongezeka licha ya elimu ya kutosha na utumiajia wa condoms.
Mbaya zaidi waathirika huwezi kuwajua kwa mwonekano kama zamani baada ya kuja kwa ARVs...
Wadau naomba kujuzwa, kuna hali ambayo sijaielewa vizuri kwamba kuna mdada ana ujauzito wa wiki ya nane inaenda sasa ila kila wakati labda kwa siku inaweza kumtokea kama mara 4 au 5 ni hali ya...
Kama nitamkwaza mtu kwa namna yoyote naomba mnisamehe.
Huwa nasikia kati ya vipimo wanavyopimwa watu wanaojiunga na jeshi ni pamoja na kujua kama mtu amewahi kuingiliwa kinyume na maumbile kwa...
Take a few drops of urine and let us know how you feelBy CHARLES WANYORO | Tuesday, September 25* 2012*at* 11:59
****Font size:***A+|Reset|A-A Catholic father has been popularising urine therapy...
Hello Mwanajamii.
Ni wazi kuwa watu wengi wanajishughulisha katika kupunguza uzito kulingana na ushauri wa kidaktari. Wapo wanaoweza kufanikiwa kupunguza na wengine walio wengi hushindwa kutokana...
Hello JF Doctors, nina tatizo la jino kutoboka na nimeshauriwa kufanya root canal, ni nini hii kitu na je ina madhara yoyote?naomba maelezo kwa mwenye ufahamu juu ya hili
By Faustin Odeke-New Vision
Tororo women are discouraging their husbands from undergoing circumcision, health authorities have disclosed.
Willy Mungoma, the district health educator, said most...
By Faustin Odeke-New Vision
Tororo women are discouraging their husbands from undergoing circumcision, health authorities have disclosed.
Willy Mungoma, the district health educator, said most...
Kutokana na mashua tatu zilizopo kushindwa kumaliza/kupunguza maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI uko umuhimu wa kuongeza mashua nyingine itayofikia lengo.
Mashua tatu zilishoshindwa kutoa suluhisho...
Huu umekuwa ndio ulevi mpya, asilimia kubwa ya watu wa kawaida wakiwemo boda boda siku hizi wanatumia ulevi huu wa kuchanganya soda aina ya coca cola au pepsi na viroba vya konyagi au valuer...
Wanajamii Forums, Habari!
Napenda kujuzwa , wapi Hapa Dar Es Salaam Wanatoa Huduma ya Kuweka Meno Ya Bandi Ya Kudumu kwa gharama Nafuu?
Wenye Kujua au KUfahamu Chochote, Tafadhari Tujuzane .
Asante
BARAZA la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA), limeitaka Serikali kuwaeleza wananchi madhara watakayoyapata baada ya kutumia dawa bandia za kupunguza makali ya Virusi vya Ukimwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.