Mashua ya Nne dhidi ya VVU/UKIMWI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashua ya Nne dhidi ya VVU/UKIMWI

Discussion in 'JF Doctor' started by aduwilly, Sep 27, 2012.

 1. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kutokana na mashua tatu zilizopo kushindwa kumaliza/kupunguza maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI uko umuhimu wa kuongeza mashua nyingine itayofikia lengo.
  Mashua tatu zilishoshindwa kutoa suluhisho ni;

  1. Kutoshiriki tendo la ndoa kabisa kabla na nje ya ndoa.

  2. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu.

  3. Kutumia kondom

  Kwa kuwa VVU/UKIMWI ni janga la kimataifa upo umuhimu wa jamii kuwa na mawazo shirikishi (participatory approach) katika kutokomeza janga hili badala ya taasisi husika kufanya kazi binafsi katika kutafuta sululu. Ukiwa kama mdau (stakeholder) unaona ni njia ipi itumike kama mashua ya nne katika vita dhidi ya VVU/UKIMWI ukitilia manani maswala ya MASTURBATION na LESBIANISM yamekuwa yakipingwa vikali na jumuiya za kidini?
   
 2. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri umekuja na suluhisho,kumbe na wewe umeleta kilio msibani,haya sasa hebu tupe mtazamo wako ili tuweze kuupima kuukosoa au kuongeza chochote,ahsante.
   
Loading...