Dalili zisizoeleweka Msaada plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili zisizoeleweka Msaada plz

Discussion in 'JF Doctor' started by Oleni, Sep 30, 2012.

 1. O

  Oleni Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina mdogo wangu kwa muda mref amekuwa na dalili kama za kisukari, miguu mikono sehem za uso nashingo huwa znakufaganzi yaani akijishka anajiona very soft na pia mapigo ya moyo humwenda mbio then mishipa ya damu huwa inakaza na macho yanapoteza uangavu. Nilimpeleka hospital akapimwa Hb >12mm/dl, pia na RBSugar ikawa 4.6 wakasema hyo hamna tatizo wakampa dawa za kupunguza mapgo ya moyo na Neuro supporter but stil tatizo bado lipo nikauliza hapa jf wakaniambia kwny vpimo kuna false negative na false postive hivyo tukarudia tena kumpima sukari ikawa 4.8. Jaman nnaomba msaada nin chakufanya maana cjui pakuanzia naomba mnijuze ni maradh gan yanaweza kuwa chanzo cha haya.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu Oleni pole sana kwa hayo matatizo ya mdogo hujasema ulimpeleka Hospitali gani?ningelikushauri umpeleke Hospitali ya Taifa ya muhimbili wakampime tena kwa vipimo vyote na ikiwezekana apimwe na damu ndio itamuonyesha ana maradhi gani? Ikishindikana hapo rudi tena utupe Feedback tutajuwa ni ni cha kufanya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. O

  Oleni Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru mkuu mimi nilimpeleka Mwananyamala, ila kuingia muhimbili naona ni mpaka uwe na barua kutoka hospitali hucka au kuna uwezekano mwingne
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Jaribu kwenda moja kwa moja muhimbili wanaweza kukusaidia Oleni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. O

  Oleni Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ntajaribu mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...