Unataka kuongeza uzito? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka kuongeza uzito?

Discussion in 'JF Doctor' started by amigooo, Sep 28, 2012.

 1. a

  amigooo Senior Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hello Mwanajamii,
  Ni wazi kuwa watu wengi wanajishughulisha katika kupunguza uzito kulingana na ushauri wa kidaktari. Wapo wanaoweza kufanikiwa kupunguza na wengine walio wengi hushindwa kutokana na zoezi kuwa gumu. Mimi nakushauri usipate tabu kuanza kufanya program ngumu sana ambazo zinakuchosha sana na hata ukifanikiwa kupungua tayari umeshaonekana mzee. Nina lishe nzuri sana iliyoandaliwa kiasilia kwa ajili hiyo ambayo baada ya kuitumia mafanikio huonekana ndani ya muda mfupi huku afya yako ikiwa njema sana.
  Pia wapo ambao hujitahidi sana kufanya wawezavyo ili kuweza kuongeza uzito lakini hawafanikiwi. Mtu anakuwa chini ya kilo zinazotakiwa kuendana na kimo chake jambo ambalo sii zuri kiafya. Pia nina lishe kwa ajili ya kuongeza kilo na kuwa na kilo zinazostahili kiafya.
  Tuwasiliane kwa maelezo zaidi kupitia email: healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162

  TUNZA AFYA YAKO
   
Loading...