Je ni kweli kwamba Condoms ziazuia UKIMWI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli kwamba Condoms ziazuia UKIMWI?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mkombozi, Sep 26, 2012.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu,naomba tujadili.Kila mwaka maambukizi yanaongezeka licha ya elimu ya kutosha na utumiajia wa condoms.Mbaya zaidi waathirika huwezi kuwajua kwa mwonekano kama zamani baada ya kuja kwa ARVs.Sasa je ni kweli Condoms zinasaidia?Najua humu jamvini kuna Madaktari,Watumiaji wenye uzoefu wa kutosha,wauzaji wa condoms,viongozi wa dini,watafiti,waelimishaji na wasiiamini condoms.Je tunasemaje kuhusu uthabiti wa condoms?
   
 2. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,001
  Likes Received: 2,616
  Trophy Points: 280
  Condoms zinasaidia sana kuzuia maambukizi ya VVU isipokuwa watu wengi wanao ambukizwa ni wale wanao jamiiana kavukavu kaka,si unajua sisi wa bongo tunavyopenda kusikilizia ile kitu,tunapenda ku-feel zile maeneo zinagongana without protection.
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hapana hazizuii wewe tumia njia uliyokuwa ukitumia tiokea mwanzo
   
 4. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Usiamini kondoms kwa 100%. Kwanza condoms zikifanyiwa majaribio sio zote 100% ni salama, inawezekana siku moja ukakutana na defective one. Halafu nyingine zinapungua ubora wake kutokana na utunzwaji wake km. joto au baridi kupita kiasi. Wakati mwingine unapoivua baada ya kuitumia unashika yale majimaji ya ukeni, na ukiwa umechubuka kidogo tu kwenye vidole unaweza kupata maambukizi. (kuna wengine wana tabia ya kupapasa na hata kutia kidole katika u*e ili kufahamu kama mwenza yuko tayari). Pia wakati wa tendo la ndoa na ukiwa umetoka kfyeka kamsitu kako, basi yale majimaji yanaweza kukugusa eneo hilo na ikawa nooma.
  NJIA ILIYO SAHIHI KULIKO ZOTE NI KUACHA ZINAA, UTAKUWA SALAMA HAPA DUNIANI NA AKHERA.
   
 5. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 760
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 180
  Umenena ewe muungwana mtizama mbali wa jf!
   
 6. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Are you sure maambukizi yanaongezeka mkuu? Umefanya karisechi kidogo kujiridhisha juu ya maongezeko ya hii kitu Boss?
   
Loading...