Root canal ni nini?

Kauzu Kinyama

Member
Aug 13, 2011
41
5
Hello JF Doctors, nina tatizo la jino kutoboka na nimeshauriwa kufanya root canal, ni nini hii kitu na je ina madhara yoyote?naomba maelezo kwa mwenye ufahamu juu ya hili
 
pole sana,mi sio daktari ila napita tu,nimewahi fanya root canal,sio lazima kufanya ila kama unataka kusave jino ili usiling'oe then root canal ni best option,kwa uelewa wangu,jino likiwa limeoza au kutoboka ile decay inaignia ndani ya nerves za jino hence jino linaoza,kwa hiyo hospitali wanachofanya watatumia vifaa vyao kutoa the decay yote ambayo imeingia ndani ya nerves,ikishatolewa jino litasafishwa na watalijaza na kuliseal alafu unachoose a cap ya jino(metal,ceramic,gold-uwezo wako tu)wanaweka juu ya jino ili meno yafanane,..ni procedure ya appointmnt kama 2 au 3,inategemea...na usijali haiumi,ganzi ya kutosha tu

miaka 3 imepita na sijaona madhara yoyote..i hope nimekupa hata ka-idea kadogo,muulize na daktari wako akueleweshe au google it
 
Back
Top Bottom