Doctor wa matatizo ya Tumbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Doctor wa matatizo ya Tumbo

Discussion in 'JF Doctor' started by cement, Jul 23, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba mwenye kujua hosp ninayoweza kupata doctor mzuri wa tumbo coz tumbo langu lipo hovyo tu hata sielewi tatizo ni nn!plz mwenye kujua!
   
 2. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wewe ni male au female: Ni PM
   
 3. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Muhimbili kuna specialist mzuri wa magonjwa ya tumbo na mfumo wa chakula. Anaitwa Dr. Rugasha, anakuwa na clinic jengo la IPPM siku za J'tatu, J'nne na J'tano kwa wiki. Nenda atakusaidia pa kuanzia. Pole kwa kuugua.
   
Loading...