Jicho/macho kutetemeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho/macho kutetemeka

Discussion in 'JF Doctor' started by Madewa, Oct 1, 2012.

 1. M

  Madewa JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 350
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wana Jf.
  Heb wataalamu wa macho wanijuze,kuwa eti macho au jicho kutetemeka kwa muda mfupi na kujirudiarudia,huwa inasababishwa na nini?
  Karibuni...
   
Loading...