Msaada wa kumpata gynaecologist hapa Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kumpata gynaecologist hapa Dar

Discussion in 'JF Doctor' started by MWENDAKULIMA, Sep 30, 2012.

 1. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Wakuu habari. Naomba anayefahamu anakopatikana specialist wa matatizo ya wanawake hasa ya uzazi (gynaecologist) anisaidie. Itakuwa vizuri zaidi akiwa hapa Dar. Msaada wenu wakuu wife anataabika! Unaweza kuweka hapa au PM.
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Dr.Mbawala pale karibu na international school masaki.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,819
  Likes Received: 10,108
  Trophy Points: 280
  Marie stopes yupo babu naskia ndio komesha, yupo maria stopes ya mwenge nilimpeleka wife hapo
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Zunguka kote watakakokuambia. Madaktari wapo Muhimbili. Kwishney. Nenda fast track kama unataka huduma ya haraka waambie unataka nini.
   
 5. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yupo Daktari wa Muhimbili ambaye akiona tatizo zaidi anakuandikia kinote mnakutana pale Muhimbili, hospitali yake iko karibia na junction ya kwenda Masaki kama unaelekea Mwenge ni upande wa kushoto sikumbuki panaitwaje. Pole sana
   
 6. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Asanteni sana wakuu.
   
Loading...