Wapi Wanatoa huduma ya kuweka Meno Ya Bandia Dar Es Salaam

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wanajamii Forums, Habari!

Napenda kujuzwa , wapi Hapa Dar Es Salaam Wanatoa Huduma ya Kuweka Meno Ya Bandi Ya Kudumu kwa gharama Nafuu?

Wenye Kujua au KUfahamu Chochote, Tafadhari Tujuzane .
Asante
 
Kaldinali=pengo..
Nenda sinza shuka kituo kiko karibu na msikiti kama utapanda magari yanayotokea shekilango ulizia maeneo hayo karibu na huo msikiti kuna technishian anatoa huduma hiyo,.,...kama ukikwama utani pm nikupe contact zake kama we ni ke.
 
Mikocheni karibu na Baraka plaza(old bagamoyo road) kuna waturuki pale wanatoa hiyo huduma utaona tangazo lao.
 
kituo cha hospital mwananyamala kama unaelekea victoria kuna ofc hapo inashughurikia,30000 jino moja!
 
Wanajamii Forums, Habari!
Napenda kujuzwa , wapi Hapa Dar Es Salaam Wanatoa Huduma ya Kuweka Meno Ya Bandi Ya Kudumu kwa gharama Nafuu?
Wenye Kujua au KUfahamu Chochote, Tafadhari Tujuzane .
Asante


Inategemea unahitaji meno ya bandia ya aina gani, kuna simple denture, every where there is a dentistry unaweza kupata.
Kuna Porcelein, Gold or Aluminium crown - more asthetically in view, kuna maspecialist wachache wanaitwa prosthodontist wanapatikana pia.
 
Back
Top Bottom