International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafakari ni kitu gani ambacho kimempelekea raisi wangu Felix kuanzisha vita na M23 kwa sasa Nimekuja kutambuwa kuwa ni passion tu ya vurugo za raia ndiyo zimempekea Raisi Relix...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Kijana mwenye asili ya India Rish Sunak hatimae amefanikiwa kuwa kiongozi wa Chama cha Conservative (Torry party) nafasi itakayo mfanya kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza baada ya kuidhinishwa na...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika. Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
KITUO KIKUBWA CHA KUZALISHA NGUVU ZA UMEME MJINI #KIEV CHASHAMBULIWA KWA MAKOMBORA. Ukraine inatarajia kuingia gizani nchi nzima mara baada ya vituo vya kuzalisha nguvu za umeme kushambuliwa kwa...
20 Reactions
90 Replies
8K Views
UTAWALA WA Joe Biden KUMZUIA ELON MUSK KUINUNUA TWITTER. Utawala wa Biden unatarajia kumfungia Elon Musk kuinunua twitter, hatua hii inamekuja mara baada ya tajiri huyo aliyechanganya mataifa...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Rais Lazarus Chakwera amefanya maamuzi hayo kwa Lobin Lowe na Naibu Waziri Madalitso Kambauwa Wirima sababu ikiwa ni usimamizi mbovu na uzembe. Wizaŕa hiyo inashutumiwa kwa kuchelewesha...
0 Reactions
5 Replies
917 Views
Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili. Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika...
0 Reactions
8 Replies
829 Views
Wakati NATO wenzake wanataka vita iendelee, Rais wa Ufaransa anaonekana kutoamini kuwa wana uwezo wa kumaliza vita. Amemuomba Papa awaite warussi na USA wakae mezani kuyamaliza. Urusi n USA ndo...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo. Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya...
5 Reactions
7 Replies
903 Views
Raia wengi wa Asia(Uarabuni, China, India, Russia, Uturuki, Pakistan n.k) wamepata nafasi za juu na muhimu za uongozi huko West hasa US, Canada na Uingereza na pia katika bara la Amerika ya Kusini...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
The Duchess of Sussex anasema majaribio ya ukoo wake yamebaini kuwa yeye ni "43% Mnigeria". Meghan alimwambia mtangazaji wa kipindi cha mazungumzo cha Nigeria na Marekani Ziwe Fumudoh kwamba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa uwekezaji wa Saudi Arabia Khalid al-Falih ameliambia kongamano la biashara mjini Riyadh kuwa nchi hiyo ya utawala wa kifalme itapata utatuzi juu ya msuguano wake na Marekani kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
585 Views
Mauzo ya Nishati hasa gesi kutoka Urusi ya vikwazo kwenda China yamevunja rekodi ya kiwango kikubwa. Kocha ya mashinikizo toka Magharibi bado na taifa makubwa ya mashariki na mengineyo duniani...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Dubai authorities have announced total rejection of visa applications from Nigerians It is not any politicians that caused it, it was Nigerians themselves. How will u go to another country and be...
20 Reactions
156 Replies
14K Views
Safi sana, Israeli hajawahi kuchelewa kufanya yake kwa mnyonge wake Iran......takbirrr The operation that assembled Iranian drones was destroyed in the Israeli missile attack on Syrian territory...
13 Reactions
65 Replies
6K Views
Mapema kabisa kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano mkuu wa 20 wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CCP), kiongozi wa chama na Rais mstaafuu wa China Hu Jintao alionekana akitolewa nje ya ukumbi kwa...
8 Reactions
120 Replies
9K Views
Kombora limerushwa kutoka kwa ndege ya Urusi karibu na ndege isiyo na silaha ya RAF iliyokuwa ikishika doria kwenye Bahari Nyeusi, waziri wa ulinzi amesema. Ben Wallace alisema tukio hilo...
5 Reactions
154 Replies
9K Views
Siku hazigandi na hakuna mjanja katika hii Dunia na unapofanikiwa tu wanaibuka maadui na vinaibuka vikwazo. Hivyo mwaka 1911 Mahakama ya Juu ya Marekani iltoaa agizo kwamba Kampuni ya Standard...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom