Hii yote wanampigania 'mungu' na uislamu...
At least 15 people have been killed and 10 others injured in an attack at the Shah Cheragh mausoleum in the Iranian city of Shiraz, state media report...
Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA.
Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA ...
Habari siyo njema hii kwa wanazi wote!!!!! Hawa majamaa wanachukiana sana. Mmoja akisuicide TUMEKWISHA!!
Soma:
Rais wa Urusi ametabiri kutokuwa na uhakika zaidi wakati enzi ya mtawala wa mmoja...
Na Masudi Rugombana June 27, 2022. Goba, Dar es salaam.
Tarehe 21 February 2022 Rais Vladmir Putin wa Urusi alitangaza kutambua uhuru wa eneo la Donbass, Jimbo la Mashariki ya Ukraine...
Afisa mmoja mwandamizi wa Ukraine amesema Urusi inajiandaa kwa "mojawapo ya mapambano makali" katika eneo la kimkakati la Kherson lililoko kusini mwa Ukraine.
Haya yanafanyika wakati ambapo...
Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo.
Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala...
Mwanaume wa Iran ambaye ameishi zaidi ya miaka 50 bila kuoga, hatimaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94, ila huko huko Iran, mwanamke aliuawa kisa kipande cha nywele kilijichomoza kwenye...
Licha ya kuongezeka kwa mvutano na Urusi juu ya mzozo wa Ukraine, majenerali wa Amerika wamesisitiza tena Beijing kama tishio nambari 1 kwa marekani.
Uchina inasalia kuwa tishio la juu la...
Kuwa na Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi kuzuru Taiwan ilikuwa uchochezi unaolenga China, ambayo kisiwa hicho ni mali yake, Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema Alhamisi katika mkutano wa...
HII KWELI KIBOKO HADI WAATHIRIKA WA HIV WANAPELEKWA VITANI KWA NGUVU
STANISLAV POHORILOV — TUESDAY, 25 OCTOBER 2022, 11:34
The Russian private military company Wagner has started to recruit large...
Kwa sababu Warusi wamegoma kwenda kupigana kule Ukraine na kuachia wanajeshi wao kuendelea kuaawa kama nzige, serikali ya Urusi inaendelea kuwaachia mahabusu wa kila aina, vibaka, majambazi...
Habari wakuu.
Afrika Kusini imearifu kuwa itairuhusu mashua ya kifahari ya tajiri wa Urusi iliyowekewa vikwazo kutia nanga Cape Town, SA.
Chombo hicho cha baharini chenye thamani ya dola za...
Hatua hiyo inaelekea kukamilika kama iivyoahidiwa na Serikali ya Kansela, Chancellor Olaf Scholz na ikiwa itakamilika itakuwa Nchi ya pili katika Umoja wa Ulaya kuhalalisha matumizi hayo baada ya...
Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani?
Au...
Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya...
Baada ya kupigana vita vikali kwa zaidi ya miezi minane tofauti na walivyotegemea, inaonekana sasa Russia wanaweza kuwa tayari kutafuta muafaka wa namna ya kuweza kumaliza hivi vita.
Inaonekana...
Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo...
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si...
Urusi imelitaka baraka la usalama la umoja wa mataifa kutumia “article VI” kuunda tume ya kuchunguza uwepo wa maabara za Silaha za kibaiolojia nchini Ukrainia zinazofadhiliwa na Marekani.
Moscow...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.