Wanaijeria wamepigwa marufuku kuingia Dubai

byakunu

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
517
1,145
Dubai authorities have announced total rejection of visa applications from Nigerians

It is not any politicians that caused it, it was Nigerians themselves. How will u go to another country and be causing riots and forming cult group, does it make sense.

IMG_2346.jpg
 
Hawa Wanigeria wengi wao ni Matapeli sana, ukiona nchi raia wake wanakataliwa mpaka India iogope sana

Halafu wajuaji sana, hata hapa Africa wanajiona wao ndio kila kitu.
Nigerian ni killer, wameua wazungu sana tena ni watu wa ovyo mno. Ni nchi kama USA tu ndiyo huwa inawaweza wakileta za kuleta huko ni risasi tu. Wanaijeria hawahutaji sheria hao ni kuua tu maana ni matapeli balaa
 
Hawa Wanigeria wengi wao ni Matapeli sana, ukiona nchi raia wake wanakataliwa mpaka India iogope sana

Halafu wajuaji sana, hata hapa Africa wanajiona wao ndio kila kitu.

Hawa watu ndo wapo wengi kuliko nchi zote za Africa, population yao kwa data za mwaka huu ni 217,863,698, yani sisi Tanzania tunaigia mara 3.4 kuwafikia.

Really wapo wengi sana, sio wote wanaweza ajiriwa na Serikali yao na Mashirika binafsi, ndo mana wengi wamesoma sana ni majobless, vijana wengi ni wasanii, hivyo kujitafutia ugali kunafanyika kwa namna nyingi sana hasa upigaji wa mtandaoni wale ndo miamba dunia nzima. Kina Hush Papi, Terry Waya wanaishi maisha ya kifalme sana Spain, Paris kwa upigaji
 
Historia ya matukio katika mataifa mengi inawahukumu umesahau kisa cha yule binti Zainab alie taka kuwapiga hoteli ya Werere Zanzibar? Hata bongo tunatakiwa tuwazuie wasikanyage wezi hao
Hakuna malaika mzee hata sisi Wabongo sema sisi ni waoga wa viwanja.
 
Nigeria ukitoa India, ndio wanafuatia kutapakaaa Duniani huko, Hawa jamaaa ni Balaaa tupu na ahida nyingime ni kwba wamesoma.mno, Nigeria unaweza kuta Jengo kama ile Ubongo Plaza pale kuna vyuo vikuu 5 kila kimoja kimechukua Floor nzima.
 
Back
Top Bottom