Marekani kumzui Elon Musk kununua Twitter

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,187
Reaction score
24,580
UTAWALA WA Joe Biden KUMZUIA ELON MUSK KUINUNUA TWITTER.

Utawala wa Biden unatarajia kumfungia Elon Musk kuinunua twitter, hatua hii inamekuja mara baada ya tajiri huyo aliyechanganya mataifa mawili(South Africa na marekani) kutamka kwa kutotoa huduma ya Starlink Satellite nchini Ukraine na kuitamkia marekani ilipie huduma hiyo iwapo inataka itumika nchini Ukraine.

Starlink Satellite imekuwa imiisaidia Ukraine kufuatilia mienendo ya jeshi la russia likiwa vitani nchini Ukraine.
1666367708454.jpg
 
Sasa starlink vina uhusiano gani na twitter?? Sema hao wametafuta sababu tu ila wanaogopa twitter ikiwa free itakuwa ngumu wao kupush agenda zao za ushoga
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
 
Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.

Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.

Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.

Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
 
Mazuri yote hayo hayafuti huo ubaya.
Yani ni sawa na wewe uwe lawyer wa kumtetea padri aliyebaka mtoto, halafu utetezi wako uwe hivi
Padri amehusika na matendo mema kama
1.Kujenga kanisa
2.Kuongoza misa
3.Kulea yatima
4 Kufungua shule

Hayo yanahusiana nini na tukio la Marekani kuminya twitter ili kuzuia free speech itakayofifisha ajenda zao za ushoga?
 
Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.

Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.

Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.

Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
Pia amechochea Amani ya ushoga Ulaya
 
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Unatia huruma!!
Propaanda za marekani zimekukamata sawasawa.
Kuna nchi inayo izidi Marekani kwa kuzivamia nchi zingine ndani ya miaka 50 toka tarehe ya leo kurudi nyuma?
ISIS, Alqaeda, et al zilianzishwa na nani au kwa ufadhili wa nchi gani?
Dikteta Mobutu, na wengine siwataji waliwezeshwa na nani? Unajuwa Mobutu aliingiaje Ikulu ya Congo?
 
Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.

Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.

Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.

Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
Nyie magaidi mgeitawala dunia hii nahisi wakristo tusingeachwa hai.
 
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Bumbafu kweli!!
 
Wapuuzi hao

Nimejizuia kweli kweli kutojibu hoja yake huyo mkuu! Nimeanza kujifunza kujizuia, ila ni kugumu kweli kweli!!

Asante sana Mkuu Kwa kumshughulikia kistaarabu.
 
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Eti mlinzi wa aman duniani, mapopoma km wew yapo meng sana
 
Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.

Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.

Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.

Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
Yaani marekani kuwavuruga hao jamaa imesaidia Sana dunia
 
Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.

Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.

Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.

Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
We jamaa unamajibu mazuri ,Mungu akutunze uendelee kuwepo duniani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom