International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Twitter Inc. sasa inamilikiwa na Elon Musk, huku vyombo vingi vya habari vikiripoti kwamba mauzo ambayo yalikuwa yakitarajiwa kwa muda mrefu yalikuwa yamefungwa rasmi. Gazeti la Wall Street...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, serikali ya sasa ya nchi yake ni mkosa na ndiyo iliyochochea mashambulizi ya Russia dhidi ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kurusha tuhuma kwa Marekani sasa Russia rasmi yasema jeshi la maji la Uingereza ndio lilihusika na kulipua mabomba ya Gesi ya Nord stream 1 & 2 ambayo hupeleka gesi Ulaya. Taarifa hiyo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Waandamanaji nchini Czechia wamedai kujiuzulu kwa serikali yao, wakilalamikia uungaji mkono wake kwa vikwazo vya kyiv na dhidi ya Urusi. Maelfu ya maandamano dhidi ya viongozi wa nchi za EU...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani. China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi...
2 Reactions
9 Replies
848 Views
China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Volodymyr Zelensky anasema Urusi imeanzisha mashambulizi zaidi ya 30 ya ndege zisizo na rubani nchini Ukraine katika muda wa siku mbili pekee. Aliongeza kuwa kwa jumla, Moscow pia imefanya...
6 Reactions
68 Replies
4K Views
Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Published Friday, October 28, 2022 Over a year ago, I began publicly warning the world about the global famine implications of the loss of natural gas supplies for Europe. Through the Haber...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Zaidi ya nusu karne baadaye, inahisi kama ulimwengu umesahau masomo ya wakati huo wa ajabu katika historia ' Mnamo 1961, Amerika ilituma makombora ya masafa ya kati ya Jupiter huko Türkiye...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
ni dawa ambayo inawafanya askari au mtu yeyote anaye itumia kujiskia vizuri [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Akaunti ya rapper huyo ilifunguliwa kwenye mtandao wa kijamii, muda mfupi baada ya Elon Musk kukamilisha kuchukua kampuni hiyo. Twitter imefungua akaunti ya rapper na mjasiriamali mwenye utata...
0 Reactions
3 Replies
869 Views
Tesla and SpaceX CEO Elon Musk finalized his $44 billion purchase of Twitter Thursday evening and quickly fired multiple executives, according to people familiar with the matter, The Washington...
0 Reactions
6 Replies
673 Views
Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapwa naomba mnisaidie kushinda mabishano, kati ya Mrusi na Mmarekan nani ana strong army yenye technolojia ya silaha kubwa zaidi, nani ana vifaa hatari vya vita, nani mbabe?
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Imeabainishwa kuwa minorities (makabila madogo) ndio wamekuwa wakifa zaidi hii inaashiria kuwa makabila hayo ndio walioorodheshwa kwa wingi. Hii inaashiria pia kuwa huenda Putin analenga kupunguza...
2 Reactions
4 Replies
778 Views
Marekani yalalamika kuwa Urusi yataka kulipua setilaiti za Marekani na washirika wake (NATO) ambazo zitajihusisha na operesheni ya kijeshi ya Ukraine. Malalamiko hayo ya Marekani yamejiri...
11 Reactions
65 Replies
6K Views
Pentagon yakiri kuwa droni zinazonasibishwa na Muajemi (Iran) zimekuwa "pasua kichwa" kwa Ukraine, US na NATO kwa ujumla. Afisa mwandamizi wa Pentagon amesema droni hizo zinachoma vibaya...
14 Reactions
66 Replies
6K Views
Back
Top Bottom