International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Kama kuna jambo linalolipa ukipatia ni game development. Basi mwaka 2012 kijana mmoja wa Vietnam aliyekuwa na umri wa miaka 25, akiwa kaanzisha kampuni yake ya kutengeneza magame ya simu ambayo...
17 Reactions
22 Replies
5K Views
Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo. Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli? Ijumaa Karim.
8 Reactions
46 Replies
3K Views
"Kwakuwa Rais wa Congo DR amekataa Kuzungumza nasi sasa tunamuomba asitulaumu kwani sasa tutampiga na kuanza Kukamata miji yote Muhimu na asidanganywe na Wanajeshi wa nchi Mbili Viherehere...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Elite US unit ready to fight in Ukraine if conflict ‘escalates’ – CBS America’s 101st Airborne Division, deployed close to the Ukrainian border, would step in if NATO were attacked, its...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwaka 1997 Aliyekuwa raisi wa Kongo mobutu aliwahi kusema kuwa ili Kongo ipate amani inahitaji kuongozwa na raisi mzungu. Je, unafikiri moise katumbi atakuwa chaguo bora kwa wakongo mwaka 2023?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais Vladimir Putin ameweka sheria ya kijeshi - kwa mara ya kwanza katika historia ya Urusi ya sasa, kwa sasa sheria hiyo inatekelezwa katika eneo pekee lililotwaliwa na Moscow. Baraza la...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Nionavyo mimi ni kwamba urusi wana haki kabisa ya kufanya walichofanya, hebu fikiria leo hii warusi wangeweka muungano wa kijeshi na mexico ili wawe na uwezo wa kuweka silaha za nyuklia pale...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Idadi hiyo imetolewa na mamlaka za usalama za Serikali na kuwa watu wengine 300 wamejeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Saleh Kebzabo amedai baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha na...
0 Reactions
6 Replies
919 Views
Urusi yatoa wito makuruta(Recruits) wapya kusajiliwa kuongeza nguvu katika jeshi Makumi ya maelfu ya wanajeshi wa Urusi wameuawa au kujeruhiwa tangu kuanza kwa vita, wanasema maafisa wa Magharibi...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
The Chinese charismatic leader Deng Xioping when he came to power after a fierce power struggle in the Chinese communist party correctly identified major problems within that party, Three of those...
8 Reactions
61 Replies
7K Views
Nchi ya Qatar ambayo ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza duniani kwa ku export nishati ya gesi imetupilia mbali ombi la Umoja wa Ulaya la kutaka kuiuzia nishati hiyo ya gesi. Wakati huo huo...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
WAZIRI WA ULINZI WA MAREKANI #AUSTIN AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI WA RUSSIA. Yaliyozungumzwa bado hayajatajwa ila ishu kubwa inavyoonekana ni masuala ya Ukraine hususan mafanikio ya...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Makombora ya Iran yapelekwa nchini Russia kwa ajili ya kushambulia Ukraine Iran yapeleka makombora aina ya Fateh-110 na zolfaghar. Makombora haya yana uwezo wa kushambulia umbali wa kilometers...
25 Reactions
89 Replies
7K Views
Kabla ya vita dhidi ya Ukraine, ilikuwa ikijulikana kuwa Jeshi la Urusi ni la pili kwa ubora na uimara Duniani, baada ya Jeshi la Marekani. Lakini vita dhidi ya Ukraine, imeweka wazi uduni wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Air Force Base in Utah crashed at the north end of the runway, according to the wing. The pilot ejected and emergency crews are responding. The wing provided no additional details in its tweet...
8 Reactions
76 Replies
4K Views
Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
ARMENIA YATOA OMBI LA KUNUNUA DRONES ZA KIVITA KUTOKA IRAN. Nchi ya Armenia imetoa ombi kwa Iran ili iweze kununua drones za kivita kwa ajili ya usalama wa nchi hiyo. Armenia imekuwa...
1 Reactions
5 Replies
757 Views
Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe. Polisi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mamlaka ya Kudhibiti Madawa imetangaza kuidhinisha Matumizi ya muda mrefu ya sindano ya cabotegravir (CAB-LA) kama prophylaxis ya pre-exposure (PrEP) kwa ajili ya kuzuia VVU Hii inafuatia...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom