Ndege ya Urusi ilirusha kombora karibu na ndege ya kijeshi ya Uingereza juu ya Bahari Nyeusi

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Kombora limerushwa kutoka kwa ndege ya Urusi karibu na ndege isiyo na silaha ya RAF iliyokuwa ikishika doria kwenye Bahari Nyeusi, waziri wa ulinzi amesema.

Ben Wallace alisema tukio hilo "linaweza kuwa hatari" lilitokea tarehe 29 Septemba katika anga ya kimataifa.

Urusi ilisema kuwa ni matokeo ya "hitilafu ya kiufundi".

Doria za Uingereza katika Bahari Nyeusi zilisitishwa lakini sasa zimeanza tena na zinasindikizwa na ndege ya kivita kufuatia jibu la Urusi.

Bw Wallace aliwaambia wabunge tukio hilo halichukuliwi kama "kuenedelezwa kwa makusudi" kwa vita vya Ukraine na vikosi vya Urusi.

============
Jamaa anamaanisha anaposema atalinda mipaka yake UK anajifanya kiranja wa EU kawashiwa redlight
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-154744_Facebook.jpg
    Screenshot_20221020-154744_Facebook.jpg
    137.7 KB · Views: 6
Vita ya pili ya dunia ilimalizwa na nani kwa kumbukumbu zako?
Unahisi Russia hakuwa na Nukes au aliamua tu kiungwana yaishe? Note this time around, saivi most EU states haziko stable hata US ana.uchaguzi mwaka huu, France moto unawaka 🤣🤣🤣🤣🤣. Na baridi inakaribia wagande kama Iceland
 

Attachments

  • FB_IMG_1666259476128.jpg
    FB_IMG_1666259476128.jpg
    61.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom