Inapaswa tuwe na mbabe mmoja tu basi...
The U.S. Fifth Fleet has indicated in a statement that the 'USS The Sullivans' and a Coast Guard ship intercepted the vessel during the day on November 8...
Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana...
"The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish...
Bunge nchini Sierra Leone kwa kauli moja limeidhinisha Mswada utakaohakikisha kwamba Mmoja kati ya Wabunge Watatu, na theluthi moja ya Madiwani wote ni Wanawake
Hivi sasa ni Wabunge 19 tu kati ya...
Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017.
Nyusi amesema...
Waandamanaji 15,000 walio kizuizini nchini Iran wako katika hatihati ya kunyang'anywa uhai kwa kujihusisha katika mfululizo wa maandamano yaliyoibuka na kuchachamaa baada ya kuuwa na polisi wa...
Leo Urusi wanasema wako tayari kuzungumza na kukubaliana kuacha vita, hawa hawa supapawa waliompa Zelensky masaa 24 kuachia ngazi. Zelensky siku zote amekua akijaribu kuwabembeleza waache vita...
Kuna mwamba mwingine huyu hapa
Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia...
Herodotus aliwahi kusema,"ni rahisi kuwadanganya watu wengi kuliko mtu mmoja".Terence McKenna aliwahi kusema,"Ukweli unatengenezwa kwa lugha,na wote tumefungwa katika lugha ya mtu fulani".
Habari...
Wachimba migodi wawili ambao walitumia siku tisa wamenasa katika mgodi wa zinki ulioporomoka wa Korea Kusini wakiishi kwa kutumia unga wa kahawa wa papo hapo wameokolewa.
Wanaume hao, wenye umri...
Chama cha marubani nchini Kenya KALPA,kimetoa wito kwa wanachama wake kususia kazi kuanzia leo Jumamosi Novemba 5.
Taarifa iliyotiwa saini leo na katibu mkuu wa chama hicho Captain Murithi Nyaga...
Zaidi ya abiria 9,000 wamekwama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Kenya (JKIA) jijini Nairobi na katika viwanja vingine vya ndege vya kimataifa duniani kufuatia mgomo wa marubani...
Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila...
Rais wa Ukraine, Zelenskyy atembelea mji wa Kherson uliokombolewa majuzi na vikosi vya Ukraine kutoka mikononi mwa Urusi.
Mwanaume yupo ndani ya artillery range za Urusi na hamna kitu watafanya...
Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za...
Iran yaunda kombora la balestiki la Hypersonic
Hawa jamaa Marekani alishachelewa kuwadhibiti mapema hii ndo funga kazi
Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu".
Hata hivyo maandamano yako pale pale.
Acourt in Iran has issued the first death sentence...
Ukisikiliza mikwara baina ya Marekani na China kuhusiana na bahari ya Pacific na vita vya kibiashara utafikiri kesho tutaamka kombora limetua Washington au Peking.
Halafu ukasikiliza mikwara ya...
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.
Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.