DRC hatuwezi kupata amani hata siku moja tusipo achana na hili
Ukabila hiki ni kitu ampka sasa hivi ndo kinapoteza DRC inawezekana kweli Rwanda wakawa wanachangia kuiba Mali za DRc au kuleta...
MHASIBU wa Kampuni ya Your Home Choice ya Keko, Dar es Salaam, Deodatus Luhela (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kujeruhiwa na majambazi...
Mahakama moja ya mjini Istanbul nchini Uturuki Jumatano imemhukumu mtu mmoja kifungo cha miaka 8,658 kwa kujihusisha na wanawake ambao hawakuwa wamejistiri vizuri aliokuwa akiwaita “paka”, chombo...
Ukraine imesema itatoa msaada wa nafaka tani 27,000 kwa Ethiopia taarifa imetolewa na Wizara ya miundombinu ya Ukraine.
Pia Ukraine imesema itatoa msaada wa tani 50,000 za ngano kwa Ethiopia na...
Mwanasiasa wa upinzani Fadel Abdelkefi amesema askari Polisi wakiwa hawana kibali chochote walimzuia kusafiri alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Carthage licha ya kuwa hana mashtaka wala kizuizi...
Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto...
Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi...
Ninajaribu kufikiria kitu Sipati majibu kabisa
Wanaojua naomba wanipe ukweli au wanieleweshe zaidi
Hivi ni nini sababu za Urusi kumpiga ukrain?
Leo nimesikia kuwa Urusi amerusha makombora mawili...
Hii VAMPIRE ina uwezo wa kufungashwa kwenye magari ya kawaida tu na ikafanya mashambulizi makali, na haihitaji wanajeshi wengi, mwanajeshi mmoja tu ametosha kusababisha maangamizi kwa...
Salama wandugu,
Mwanzo kabisa tuliona aliyeanza kufitinisha ni mmarekani kwa kumjaza kiburi zelesky na kuanza kuzozana na Putin.
Mambo yalipoharibika zelesky akabaki pekee yake akiambulia kupewa...
Kombora hilo limesababisha vifo vya watu wawili katika Kijiji kimoja Nchini Poland lilirushwa na vikosi vya Ukraine wakati vikizuia mashambulizi kutoka kwa Urusi
Maofisa wa Marekani ambao...
Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe.
Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini...
Democrats have retained the Senate – doing no worse than holding steady at 50 seats and potentially gaining one – and look likely to keep any net losses in the House in the single digits...
Rais huyo aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ametangaza kuutaka tena Urais licha ya uchunguzi mwingi unaoendelea dhidi yake kuhusu Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ukwepaji Kodi
"Ili kuifanya...
Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo...
Imetafsiriwa kutoka gazeti la India Times
WAZIRI Mkuu wa India Narendra Modi amesema kitendo cha India kupata nafasi ya kukaa kwenye kiti cha Urais kutoka nchi zenye UCHUMI Mkubwa duniaani G20...
Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea...
Illustrative image: sperm moving towards an egg (iStock via Getty Images)
Sperm counts worldwide have plummeted by 62 percent since 1973, according to new Israeli-led research.
The study sounds...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.