Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Rais wa Ukraine, Zelenskyy atembelea mji wa Kherson uliokombolewa majuzi na vikosi vya Ukraine kutoka mikononi mwa Urusi.
Mwanaume yupo ndani ya artillery range za Urusi na hamna kitu watafanya.
Kaenda mbele kabisa kuangalia mipaka na mitego ambayo Russia walisema wameiweka.
Mwanaume huyu hapa njooni mumkamate kaingia eneo la Russia bila PASSPORT wala visa