International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wazazi maskini kule Nigeria kazi yao ni kuzaa na kupokeza watoto kwa huu mfumo wa almajiri ambapo mtoto siku nzima anafundishwa kurani na mambo ya kiislamu kisha mchana anaachiwa aende akazurure...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Tuliwaambia Ukraine bado hawajapewa silaha za maana, na mpaka sasa kwa kidogo walichopewa wamefaulu kuilemaza Urusi, yaani Magharibi wanaachia aina moja moja ya silaha. Sasa hapa kuna hii Storm...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakika Vita ndio njia pekee ya kujua ubora na udhaifu wa Silaha husika. Miaka Mingi zimeimbwa taarabu za Hypersonic kwamba haziwezi kuzuiwa na MIFUMO yoyote ile ya Ulinzi. Kutokana na Kukosekana...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad Just look his face , his face looks like your...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waarabu wanapima kuwajua wazungu kama ni watu kamili kama wao au wana uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao. Hata nguruwe ukiwapa kichapo na jambia TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako...
0 Reactions
6 Replies
691 Views
Kiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na...
11 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari zilizovuja na kuthibitishwa na Ukraine ni kuwa. Boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin alikuwa na mawasiliano ya siri kati yake na GRU (Military Directorate of Intelligence) kuhusu kuwapa maeneo...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Mrusi sasa anatia huruma, ndege zinapigwa zikiwa kwenye anga ya Urusi kabla kuingia Ukraine.... A Russian aerial ‘raiding party’ consisting of a Su-34 fighter-bomber, Su-35 fighter, and two Mi-8...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Wizara ya ulinzi ya Urusi leo imedai kufanikiwa kutungua kombola aina ya storm shadow lenye range ya mile 200 kwa mara ya kwanza yakiwemo mengine 7 ya HARM(ARM) pamoja 7 ya HIMARS. Mamlaka ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari na picha Baadhi ya watu humu walisema Iran ni masikini sana!! Iran kawekewa vikwazo miaka 42 sasa hali ni mbaya sana!! Iran wapeleke kwanza umeme vijijini!! Huko Iran hali ni mbaya sana...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Africa Kusini inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa umeme kwa miaka 15 sasa. Nchi nzima iko katika mgao wa umeme na inakadiriwa umeme kwa mwaka umeme unakatika zaidi ya siku 200! Uwekezaji duni katika...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jijini Vatican ambapo...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema kuwa imepoteza makamanda wao wawili,4motorized rifle brigade,Col, Vyacheslav Makarov pamoja na Deput of army corps for military-political work Col,Yevgen Brovko...
13 Reactions
70 Replies
4K Views
Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo...
13 Reactions
92 Replies
6K Views
Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow. Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI? Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…