International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Marekani imesema inapeleka vikosi katika maeneo ya Gulf ili kulinda meli, hii imekuja baada ya Iran kuanza teka meli zinazopita katika eneo liitwalo Homuz Strait. Je tutegemee vita...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Picha za Mabaki ya Makombola hayo bandia ADM-160(MALD) zimeonekana katika mitandao kadhaa ya Kirusi ikionyesha mabaki hayo huko Luhansk. Ukraine ilitumia makombola matatu yakiwemo storm shadow...
4 Reactions
1 Replies
825 Views
Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita. Kwenye medani ya vita kuna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tangu vita baina ya majirani hawa walili ianze imenifanye niwaze nikwanini Uingereza amekuwa sehemu muhimu sana kutoa msaada wa hali na Mali kwa Ukraine kuweza kukabiliana na urusi, kuanzia...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Na BBC Swahili Vita vya Bakhmut, mji wa Ukraine ambao Urusi imetumia miezi kadhaa kujaribu kuuteka, "inaendela kwa utulivu", anasema kamanda mkuu wa Ukraine. Mapema mwezi huu, maafisa wa...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Jamani mwenye apdate kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu kinacho endelea kwenye uchanguzi wa raisi nchini Uturuki tufahamishane. Ila Edorgan akinusulika kwenye uchanguzi huu itabidi akatambike kwenye...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
  • Closed
Msimu huu wa kiangazi, kuna harufu ya counteroffensive inanukia nchini Ukraine, kwani matukio yanayotokea Kherson na Bakhmut yanatazamiwa kusambaa kote nchini na kuunda mkondo wa mashambulizi...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa ulinzi wa Uingereza amethibitisha kwamba nchi yake itaipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ili kuweza kupiga shabaha za mbali. Makombora hayo ya Storm shadow yanaweza piga shabaha...
11 Reactions
88 Replies
7K Views
Darlene Krashoc alikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi tangu angali mtoto. Alitaka kuwa kama mama yake ambaye naye alikuwa mwanajeshi na hivyo aliwataarifu wazazi wake kuwa anataka kutuma maombi ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
The Russian Air Force appears to have had one of its worst days of the war in more than a year on Saturday. While details remain limited and are likely to change, it appears Russia lost two Mi-8...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Warusi walipoteza wanajeshi wengi sana, maelfu yao walikufa wakati wananyakua maeneo ya kamji ka Bakhmut, sasa yameanza kuwatokea puani. ================================== Ukraine said on Friday...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk. Ila ukweli ni kwamba Marekani...
23 Reactions
126 Replies
7K Views
Kinachofanyika huwa ni kupunguza tu wala si kutokomeza kabisa. Vikundi vya kigaidi kama Hamas vimekuwa ni Neema kubwa mno kwa Israel, Kwa teknolojia na uwezo wa kijeshi alionao Israel endapo...
1 Reactions
4 Replies
893 Views
Hivi nchi ya kwanza kuizunguka dunia anga za juu utasema sio super power? Nchi ya kwanza kudetonet bomu kubwa kabisa la nyuklia duniani ambalo sauti na kishindo chake hakijawahi kurekodiwa popote...
2 Reactions
7 Replies
612 Views
Ni ngumu sana sisi binadamu pale ukielezwa teknolojia huko mbeleni itakuwa hivi au kitakuwa hivi kwa sababu tujakiona wala kuhamini kipo. Kuna uzi fulani nilishawahi kueleza kuhusu umeme...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom