International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waandishi hao wa Habari wanapinga kile wanachosema kuwa ni Sheria kandamizi dhidi ya ugaidi iliyoundwa kuvitisha vyombo vya habari. Wameandamana wakiwa na mabango nje ya makao makuu ya muungano...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Msemaji wa Pentagon Gen. Patrick Ryder akijibu maswali ya waandishi mbalimbali habari leo hii amethibitisha mfumo wa ulinzi wa anga wa US wa Patriot kutungua kombora la Urusi la Kinzhal...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
“Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki Nchi hizi mbili zinafanya kazi pamoja katika nyanja nyingi Tanzania na Uturuki wana ushirikiano mzuri wa kidiplomasia I Picha...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
‘Biased Western media trying to influence decision of Turkish voters’ Several Western-based publications have been accused of biased reporting, with suggestions that this is an attempt to...
0 Reactions
2 Replies
575 Views
Jamani mwenye apdate kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu kinacho endelea kwenye uchanguzi wa raisi nchini Uturuki tufahamishane. Ila Edorgan akinusulika kwenye uchanguzi huu itabidi akatambike kwenye...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ujasusi ndio silaha ya hatari kwa nchi yeyote duniani. Ujasusi ndio silaha ya kisasa ktk kukabiliana na changamoto zina ikabili Dunia ujasusi ndio nyenzo ya ushindi kwa adui yako ukiwa hauna watu...
11 Reactions
26 Replies
5K Views
Kumekuwepo na vuta nikuvute juu ya mashambulizi makubwa yaliyofanywe na Urusi hapo jana kwenye mji mkuu wa kyiv. Wakati Ukraine ikisema imetungua makombora yote 18 yaliyorushwa jijini hapo,6 kati...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Waziri wa ulinzi wa Ukraine akisema mifumo yao ya ulinzi wa anga jana imefanikwa kudungua makombora 6 ya Kinzhal ambayo yanadaiwa na Urusi kuwa ni...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Je, huenda ni macho yangu kuona vibaya?! Mbona kama jirani tembea yake haiko sawa-anaumwa?
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Ukraine imeijibu China ambayo inajaribu mbinu za kuishawishi Ukraine iachie kipande cha ardhi kwa Urusi ili yaishe. Hivi mnaoishabikia Urusi kwenye harakati zake za kuiba ardhi ya Ukraine...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na...
0 Reactions
6 Replies
869 Views
Walimdanganya putin hypersonic hazitunguliki wala hazionekani kwenye rada Jisomeeni wenyewe nimecheka sana 🤣 Kile kindunje kazi ipo
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Chama cha Madaktari nchini humo kimetangaza kuwa idadi ya vifo vya Raia kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Jeshi na vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) imefikia 822, na wengine 3,215...
0 Reactions
7 Replies
720 Views
Kamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika...
2 Reactions
67 Replies
4K Views
Ndo hivyo wakuu, ukiona bondia anapigika usoni kirahisi ujue mambo si mambo hapo. Vivo hivyo kwa nchi zinapopigana, ukiona kila mashambulizi yanafika mji mkuu yakupasa uwe makini kweli na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Srinagar (Jammu and Kashmir) (ANI): Sher-i- Kashmir International Conference Centre in Srinagar, popularly known as SKICC, is currently abuzz with a large number of activities as it prepares...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Kampuni ya Vodafone imetangaza mpango wa kupunguza nafasi 11,000 za kazi katika ofisi zake tofauti duniani kama moja ya juhudi za kurejesha utendaji wake kifedha kwenye hali nzuri. Hatua hii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kombora moja la Storm Shadow lililorushwa kutoka mji wa Krymatotsk mashariki kwa Ukraine umbali wa 260km limesambaratisha makao makuu ya jeshi la Urusi katika jimbo la Luhansk linalokaliwa kwa...
23 Reactions
104 Replies
8K Views
Srinagar (Jammu na Kashmir) KITUO cha Mikutano cha Kimataifa cha Sher-i- Kashmir huko Srinagar, maarufu kama SKICC, kwa sasa kimegubikwa na shughuli nyingi kinapojitayarisha kuandaa mkutano ujao...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Uchaguzi mkuu nchini Uturuki utarudiwa mwezi may 28 kati ya kiongozi wa vyama vya upinzani KEMAL na Rais Erdogan. Katika round ya kwanza, Erdogan amepata 49.3% ya kura zote huku muungano wa Vyama...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom