International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Yurii Ihnat, msemaji wa Jeshi la Wanahewa la Ukraine, amesema kuwa mfumo wa makombora wa Kuzuia ndege wa Patriot hauwezi kuharibiwa kwa shambulio moja, hata ikiwa ni kombora la Kinzhal. === Yurii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Moscow:Tupo tayari kupitia upya mpango wa amani wa viongozi wa Afrika Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Moscow ipo tayari kuuchunguza mpango wa amani uliopendekezwa na...
2 Reactions
4 Replies
685 Views
Yeah ni kweli vita ni pande mbili , jambo zuri internet inaonyesha vitu vingi vinavyo tokea ukraine na reactions za wa ukraine ,maana nimeona mpaka Walimu, Madaktari, Mainjinia wa Ukraine...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Ukraine yalalamika kuwa HIMARS walizoaminishwa na USA+NATO kuwa ndio Game changer (mkombozi wao), zimekuwa kama midoli tu kwenye mapambano na Urusi. Mwambieni Zelensky hizo HIMARS ni Game Changer...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Wizara ya mambo ya ndani ya Urusi leo imetangaza kuwa mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa ya ICC ni WANTED kuanzia leo hii. Itakumbukwa huyu mwendesha mashtaka ndio alitangaza kutoa hati...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Msafara wa 86 wa Meli za Kivita za Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umerejea nchini baada ya safari ya kuzunguka dunia kama sehemu ya juhudi za Jamhuri ya Kiislamu za kupanua uwepo...
2 Reactions
6 Replies
954 Views
Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia Hili ni pigo kubwa sana kwa Madola ya Kibeberu hususan Washington na vibaraka wake pamoja na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel...
1 Reactions
6 Replies
849 Views
Pentagon yasema kuwa zaidi ya ndege 1 ya Urusi ilidunguliwa na Patriot ndani ya ardhi ya Urusi. Ukraine alipewa Battery 2 za Patriot, moja iko Kyiv nyingine haijulikani iko wapi Wachambuzi wa...
1 Reactions
7 Replies
635 Views
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Waisraeli wamerusha satellite mpya kwa dhumuni la ujasusi hasa kuichunguza Iran na teknolojia yao ya Mabomu ya Nyuklia. Ni vipi waihofia Iran huku ninyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana...
20 Reactions
214 Replies
26K Views
Moldova taifa dogo lilo kati ya Ukraine na Romania limeungukia umoja wa ulaya(EU) likiitaka jumuiya hiyo kwa msisitizo mkubwa sana kuharakisha kupokelewa kwa maombi yao ya kujiunga katika umoja...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Uturuki inakaribia katika awamu ya "suluhisho la mwisho", ambalo linahusisha kujitenga kabisa na "Mfumo wa Atlantiki" ambao ni wa Kimarekani na huku ikiwa inajikurubisha zaidi na madola yenye...
2 Reactions
1 Replies
552 Views
Sambamba na mkutano wa G7, Oxfam yasema: Nchi tajiri zinadaiwa dola trilioni 13 kwa nchi maskini Shirika la Oxfam limetangaza kuwa nchi za G7 zilizoendelea kiviwanda zinadaiwa na nchi za Kusini...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Maafisa 82 wameshtaki Serikali, wakidai kuwa imeshindwa kuwapandisha vyeo baada ya kumaliza masomo yao chini ya sera ya likizo ya masomo yenye malipo Wakiongozwa na Inspekta Msaidizi Kofi Osal...
0 Reactions
6 Replies
844 Views
Alaumu wanajeshi wa Urusi kuendelea kuachia maeneo na kushangaa namna wazalendo wa Ukraine wanakomboa maeneo. Yaani Ukraine wana mzuka wa kichizi, vijana wanaingia kwenye historia kama ambao...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Chombo kimoja cha habari nchini Marekani kinasema kimepata taarifa kwamba maafisa wa juu wa serikali ya Marekani wanaona uwezekano wa mgogoro na vita ya Urusi na Ukraine kuchukua miaka mingi au...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022. Gharama...
1 Reactions
7 Replies
942 Views
Back
Top Bottom