Israel, Gaza bado pagumu

Israel, Gaza bado pagumu

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.

Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.

Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.

Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.

Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.

Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?

Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?

Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?

Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
 
Nyinyi si ndo huwa mnashinda humu mnaisifu MOSAD kuwa ndo shirika bora la interegensia duniani, sasa inakuwaje inashindwa kuzuia uingizwaji wa silaha ndani ya gaza hali yakuwa wamelizingira eneo hilo kila sehemu?
Vipi kama wao lengo lao ni kuwaacha watengeneze ili watest mifumo yao kabla ya kuanza na Iran?
 
Hakuna kitu kama hicho hivyo viroketi vya wanamgambo wa kipalestina vinatengenezwa kwa zege na vimetengenezwa kwa tekinolojia ni hali ya chini sana.
hivyo huwezi kutumia kama kipimo cha kuweza kukabiliana na makombora ya kiirani yaliyo tengenezwa kwa tekinolojia ya hali ya juu.
 
Umri ukienda kifo unakiogopa. Wengine wanauwana for fun🤷‍♂️
 
Baada ya kupata taarifa za uhakika

Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow

Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.

Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea

Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi

Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.

Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran

Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.

Swali

Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?

Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?

Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?

Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Israeli kafanya sawa, hakuna muda wa kulea magaidi mipakani. Wafuatwe popote walipo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.

Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.

Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.

Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.

Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.

Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?

Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?

Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?

Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Mkuu Israel tunawapenda sana. Ila wanawaonea sana wapalestina hasa watoto ba wanawake. Pia blockade walioiweka Gaza haikubaliki kwasababu inazuia humanitarian aid.

Tunatambua haki ya. Israel ya kujilinda lakini haijali uhai wa wananchi wasio na hatia Gaza, Samaria na Judea (west bank).
 
Sasa ikiwa maroket ya wanamgambo wa kipalestina yanapenya huo mfumo wao wa kujilinda, je Iran akivurumisha ya kwake hiyo Israel itakalika kwelii??
 
Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.

Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.

Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.

Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.

Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.

Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?

Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?

Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?

Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Kwanza na ulaaniwe, unawezaje wapigania haki kwenye nchi yao uwaite magaidi inaonekana una chembe chembe za utumwa kichwani mwako ,wale ni si magaidi ni wapalestina waliojitolea kuunda vikosi vya ulinzi .sawa na Tanzania kuwe na nchi inamega ichi yetu ikatokea vijana tukajitolea kupambana na wavamizi halafu anatokea mtu tu huko nchi nyengine anakuita gaidi eti kwa kua kikundi sio jeshi kamili we utafurahi
 
Subiri wavaa makobaz waje, ila Israel wanajaribu sana maana kuishi huku mumezungukwa na hawa mazombi ni hatari sana.
 
Iron Dome VS. Terrorist Rockets.

Good VS. Evil.

Photo: Haim Goldberg.
FB_IMG_1683892760520.jpg
 
Kinachonifurahisha duniani ni unafiki wa watu weusi ulivyo

Wanaomkosoa Mrusi kwa kumuita mvamizi ndio wanamsifia MuIsrael kwa kumshughulikia Mpalestina anaepigania eneo lake huku anaemtetea Israel akisimamia ushahidi wa biblia ambayo hao Israel kuna sehemu hawaikubali hiyo bible ikiwa na kumtambua Yesu kama Masihi.

Na upande mwingine anaemtetea Mrusi ndio anaemkosoa Israel kwa kumpiga Palestina anaelinda eneo lake huku akimkosoa Ukraine anaelinda eneo lake pia.

Yote kwa yote inaonesha akili halisi za sisi watu weusi na namna gani tulivyowepes kutawaliwa.Ndio maana wanasiasa wengi katika nchi zetu hizi wanatuendesha wanavyotaka maana wameshajua akili zetu zilivyo.
 
Hahahahahaha hawa vijana wana vituko mnooo aisee
Wanamlaani Russia kwa kuivamia Ukraine, na wanawaita wapiganaji wa Ukraine mashujaa
Ila wanaisifia Israel kwa kuivamia ardhi ya wapalestina na vikundi vya wanamgambo wa kipalestina wanaotetea ardhi yao wanawaita magaidi
Haya yotee wanafanya kisa tuu mambo yao kiimani..yamewatia upofu kabisa
 
Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.

Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.

Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.

Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.

Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.

Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?

Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?

Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?

Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Endelea kuota
 
Hahahahahaha hawa vijana wana vituko mnooo aisee
Wanamlaani Russia kwa kuivamia Ukraine, na wanawaita wapiganaji wa Ukraine mashujaa
Ila wanaisifia Israel kwa kuivamia ardhi ya wapalestina na vikundi vya wanamgambo wa kipalestina wanaotetea ardhi yao wanawaita magaidi
Haya yotee wanafanya kisa tuu mambo yao kiimani..yamewatia upofu kabisa
Miafrika mijinga sana
 
Mkuu Israel tunawapenda sana. Ila wanawaonea sana wapalestina hasa watoto ba wanawake. Pia blockade walioiweka Gaza haikubaliki kwasababu inazuia humanitarian aid.

Tunatambua haki ya. Israel ya kujilinda lakini haijali uhai wa wananchi wasio na hatia Gaza, Samaria na Judea (west bank).
unapenda usiko pendwa
wayahudi kutoka namtumbo ruvuma
 
Back
Top Bottom