Nimeshangazwa sana, katika hali isio ya kawaida kwa vyombo vya habari vya Magharibi namaanisha CNN, BBC, DW, FOX News, France 24 na kadhalika, nilitegemea haya maandamano yanayoendelea huko...
Majeshi ya Ukraine yanashindwa yaamueje kushughulika na kamikazer drones za Urusi. Ni drones za gharama chee (dola 20,000 za marekani kwa kila moja). Ina uwezo wa kuangamiza vifaru, magari ya...
Maandamano makubwa mawili yanayohusu mabadiliko ya mfumo wa pension na kijana wa kiarabu aliyepigwa risasi na polisi yaliyoikabili serikali ya Macron, Ufaransa mwaka huu kwa kiasi kikubwa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Burundi, Sylvester Nyandwi amesema, Alain-Guillaume Bunyoni anashikiliwa baada ya kukamatwa akiwa amejificha eneo la Makazi ya Raia huko Kabezi, Bujumbura.
Tume...
Mnamo Juni 9, 2020 aliyekuwa Rais wa Burundi kwa miaka 15 Pierre Nkurunzinza aliaga dunia. Ingawa serikali ya nchi yake imeeleza ya kuwa amefariki kufuatia mshtuko wa moyo, vyombo vya habari...
In the sparsely populated Karoo desert in the heart of South Africa's Northern Cape, the spirit of apartheid lives on.
I spent a few days in Orania, a town established in 1991 where no black...
Urusi ni taifa la kihuni sana, yaani hao Wagner wana wanachama kwenye kila nyanja hadi majenerali na wakuu jeshini wana uanachama humo, wana namba za usajiri, huyu jenerali mkuu jeshini alikua...
Ukrainian servicemen of the 10th Mountain Assault Brigade "Edelweiss" shift position after firing rockets from a BM-21 'Grad' multiple rocket launcher towards Russian positions, near Bakhmut in...
Jonathan Vero kutoka Kikosi cha Zimamoto nchini Ufaransa, ameweka rekodi mpya ya dunia baada ya kukimbia umbali mrefu zaidi huku akiwaka moto bila kutumia vifaa vya Oksijeni.
Hata hivyo, katika...
30(06)1960 ndo tulipata Uhuru wetu kutoka kwa Wabeljiji, lakini ukicheki vizuri hatuja pata Uhuru sisi.
Na sioni sababu za kusherekea Uhuru huku bado ndani ya nchi yetu kuna vita
bado tunateswa...
Kampuni ya Uwakala wa Usafiri Mtandaoni ya Trip.com Group imesema itaanza kumlipa kila Mfanyakazi wake Yuan 50,000 (Tsh. Mil 16.6) kwa kila Mtoto mmoja atakayempata kuanzia July 01,2023 hii ikiwa...
Mgogoro na vita baina ya Jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF umeingia siku ya 10 huku kukiwepo na amri ya kusimamishwa mapigano kwa masaa 72.
Amri ya kusimamisha mapigano kuruhusu uokozi wa raia...
Ukraine na washirika wake(west) walitumia miezi kadhaa kutoa mafunzo na siraha kwa kuandaa brigeds tisa mpya pamoja na brigedi za ziada ambazo zingefanya kazi kama reserve
Mahususi kwa ajili ya...
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi...
Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya...
Chanjo hiyo imetengenezwa kwaajili ya kupambana na Kirusi aina ya Sudan (SUDV) ambacho kiliingia Uganda mwaka 2022. SUDV kiligundulika kwa mara ya kwanza Nchini Sudan mwaka 1976 na baadaye...
Baada ya Prigozhin kuwasili rasmi nchini Belarus jana jumanne, NATO wameanza kulialia na kulalamika kuwa kuhamishwa kwa kiongozi wa Wagner, Prigozhin, na askari wake nchini Belarus kunahatarisha...
Vyombo vya Magharibi viko busy na mambo ya Urusi pekee ilihali Ufaransa moto ikiwaka Balaa, yaani huwezi ona hata facebook.
Maandamano yangekuwa ni Iran au Russia habari zingetapakaa Social media...
Mahakama ya Paris imemhukumu Askari polisi wa zamani wa jeshi la Rwanda baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya mwaka 1994 nchini mwake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.