Maandamano, Ufaransa yatangaza hali ya Hatari, Rainbow mko wapi?

Maandamano, Ufaransa yatangaza hali ya Hatari, Rainbow mko wapi?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,547
Reaction score
14,211
Vyombo vya Magharibi viko busy na mambo ya Urusi pekee ilihali Ufaransa moto ikiwaka Balaa, yaani huwezi ona hata facebook.

Maandamano yangekuwa ni Iran au Russia habari zingetapakaa Social media zote.
Screenshot_20230630_073529_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20230630_073535_com.android.chrome.jpg
 
Kwamba waache kuzungumzia mauaji ya Putin huko ukraine kisa maandamano ya wafaransa.
Si bora ingekuwa maandamano tu! Kule vurugu za kufa mtu hapo Ufaransa! Lakin si unajua vyombo vya habar viko kimkakati zaidi kwa kumulika mahasimu wao?
 
Back
Top Bottom