International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

With the US election campaign season in full swing since the beginning of the year, a topic often discussed has been the “Establishment” and the rise of candidates who are outside the...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi???
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika makubaliano ya kusitisha uasi wa kundi la Wagner uliofanyika katikati ya mwezi uliopita ilitajwa kiongozi wa kundi hilo angekaa uhamishoni nchini Belarusi. Kiongozi wa Belarusi,Lukashenko...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Msimamo wa Putin unafahamika: Msamaha unawezekana ila si kwa MSALITI!! Hii sura huenda isionekane tena baada ya Special military operation in ukraine! Msaliti ni mtu aliyeaminiwa, aliyetendewa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mtu mtu mwenye msimamo Kama yeye na uelewa mpana asingeweza kukubali kirahisi hivyo kufikia makubaliano tata. Ilichokifanya Urusi ni kuongea na watu wa karibu wamdhibiti kisha wampeleke...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Kinshasa ya miaka 1980 ambayo tuliona kwenye filamu ya papa wemba la vie est belle Na kinshasa ya leo hakuna kilicho badirika zaidi ya watu na kuongeza badhi ya barabara tu katikati ya mji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume. Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya...
39 Reactions
289 Replies
34K Views
Kwa mujibu wa Wanasiasa wa Upinzani Nchini Senegal, wamesema Kiongozi huyo ameachana na mpango baada ya kuwepo kwa shinikizo la kumpinga pamoja na maandamano yaliyoitishwa Nchini kote. Rais...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano. Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq...
19 Reactions
239 Replies
19K Views
Wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wameshambuliwa katika Mji wa Sfax huku zaidi ya 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo Wanawake na Watoto. Machafuko hayo ya kulipiza kisasi yamechochewa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku wana JF. Kama heading isemavyo hapo juu, mwezi uliopita/Septemba nilifanya ziara ya kitalii nchini burundi, kwa niliyoyakuta ni balaa...
29 Reactions
276 Replies
92K Views
The US wants to block sunlight to save Planet from 'Global warming!!!How insane. MONDAY, JUL 03, 2023 Despite the European Commission's recent warning that large-scale interventions such as...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) hivi karibuni limemchangua tena Qu Dongyu, mgombea wa China kuendelea kuwa mkuu wake. Kilimo ni moja ya nyanja muhimu za ushirikiano kati ya...
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Ni dhihirisho tosha kwamba Putin ni mateka kwa mafia wa pale Klemrin, ikikumbukwa alivyobwatuka kwa hasira wakati wa uasi ambao ulisababisha vifo kwa marubani na uharibifu wa ndege kadhaa, uasi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Kiongozi aliyesimikwa na Urusi walipoiba ardhi ya Crimea ameponea kuuawa na jasusi la Ukraine, kwa sasa kila pandikizi anaishi kwa uwoga na kuangalia angalia nyuma na kugeuza geuza kichwa maana...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Baada yangu ni mateso na machafuko (Après moi ça sera une déluge) Hayo ni maneno ya Mobutu mwaka 1996 Mwaka huo huo mobutu aliwahi kusema kuwa kongo kupata amani labda tuongozwe na mzungu Mwaka...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Wazayuni: Mapigano yalikuwa makali Jenin, tumehisi kama tunakabiliana na Hizbullah ya Lebanon Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimelazimika kukiri kwamba mapambano yaliyotokea...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya...
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Back
Top Bottom