China na harakati za kuongeza Watoto wanaozaliwa, Kampuni yatangaza kuwalipa Wafanyakazi Mil 16 kwa kila Mtoto watakayemzaa

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Kampuni ya Uwakala wa Usafiri Mtandaoni ya Trip.com Group imesema itaanza kumlipa kila Mfanyakazi wake Yuan 50,000 (Tsh. Mil 16.6) kwa kila Mtoto mmoja atakayempata kuanzia July 01,2023 hii ikiwa ni Kampuni ya kwanza binafsi kuonesha jitihada za kuunga mkono mapambano ya China kuongeza Watoto na kupunguza uwingi wa Wazee ambao sio Wazalishaji mali.

Kampuni hiyo yenye Watumiaji zaidi ya Mil 400 Duniani, imesema licha ya kumpa Mzazi Yuan 50000 mara tu akipata Mtoto, italipa pia Yuan 10000 (Mil 3.3) ya matunzo ya Mtoto kila mwaka kwa muda wa miaka mitano kwa kila Mfanyakazi wa Kampuni hiyo atakayepata Mtoto popote Duniani ambapo Kampuni inakadiria kutumia Yuan Bil 1 kwenye programu hiyo.

Kiongozi wa Kampuni hiyo James Liang amesema “Siku zote huwa nashauri Serikali iwape pesa Wazazi hususani wenye Watoto wengi ili kuwahamasisha Vijana kutimiza ndoto za kuwa na Watoto wengi”

China ambayo iliendesha sera ya kila Mzazi kuwa na Mtoto mmoja pekee kuanzia 1980- 2025 imeonywa na Wataalamu kuwa ‘Nchi Itazeeka kabla ya kutajirika’ kutokana na nguvu kazi ya Taifa (Vijana) kupungua na kuwa na Wazee wengi ambao wanahitaji kuhudumiwa zaidi ambapo kuanzia mwaka 2021 wamefungua milango na kuruhusu Watu kuzaliana hadi Watoto watatu ingawa bado Watu wamegoma kuzaliana wakihofia gharama za matunzo ya Watoto, ada, kipato duni n.k.

Kiwango cha kuzaliana China kimeshuka hadi vizazi 6.77 kati ya Watu 1000 kutoka 7.52 kati ya Watu 1000 mwaka 2021 ambapo Wataalamu wanasema 2% ya GPD ya China itategemea kuhamasisha Watu kuzaliana.
By
MillardAyo
 
Hawana matawi Tanzania🤔🤔
 
Hilo tatizo lipo Nchi nyingi zilizoendelea, huku Tanzania ndiyo kwanza tunahamasishwa kuzaa kwa mpango (Family Planning) maana ni kawaida kukuta familia ina watoto 4-13. Wakiongeza na wale wa nyumba ndogo utakuta idadi ina escalate to 15 😅 😅
 
Kampuni ya Uwakala wa Usafiri Mtandaoni ya Trip.com Group imesema itaanza kumlipa kila Mfanyakazi wake Yuan 50,000 (Tsh. Mil 16.6) kwa kila Mtoto mmoja atakayempata kuanzia July 01,2023 hii ikiwa ni Kampuni ya kwanza binafsi kuonesha jitihada za kuunga mkono mapambano ya China kuongeza Watoto na kupunguza uwingi wa Wazee ambao sio Wazalishaji mali.

Kampuni hiyo yenye Watumiaji zaidi ya Mil 400 Duniani, imesema licha ya kumpa Mzazi Yuan 50000 mara tu akipata Mtoto, italipa pia Yuan 10000 (Mil 3.3) ya matunzo ya Mtoto kila mwaka kwa muda wa miaka mitano kwa kila Mfanyakazi wa Kampuni hiyo atakayepata Mtoto popote Duniani ambapo Kampuni inakadiria kutumia Yuan Bil 1 kwenye programu hiyo.

Kiongozi wa Kampuni hiyo James Liang amesema “Siku zote huwa nashauri Serikali iwape pesa Wazazi hususani wenye Watoto wengi ili kuwahamasisha Vijana kutimiza ndoto za kuwa na Watoto wengi”

China ambayo iliendesha sera ya kila Mzazi kuwa na Mtoto mmoja pekee kuanzia 1980- 2025 imeonywa na Wataalamu kuwa ‘Nchi Itazeeka kabla ya kutajirika’ kutokana na nguvu kazi ya Taifa (Vijana) kupungua na kuwa na Wazee wengi ambao wanahitaji kuhudumiwa zaidi ambapo kuanzia mwaka 2021 wamefungua milango na kuruhusu Watu kuzaliana hadi Watoto watatu ingawa bado Watu wamegoma kuzaliana wakihofia gharama za matunzo ya Watoto, ada, kipato duni n.k.

Kiwango cha kuzaliana China kimeshuka hadi vizazi 6.77 kati ya Watu 1000 kutoka 7.52 kati ya Watu 1000 mwaka 2021 ambapo Wataalamu wanasema 2% ya GPD ya China itategemea kuhamasisha Watu kuzaliana.
By
MillardAyo
Dunia inaenda kumezwa na Mwarabu na Mtu mweusi .jamii zingine zimebaki kulawitiana tu kuzaa no .Serikali zao zinaangaika kutumia nguvu nyingi lakini wapi
 
Asee .. mpaka hii sera ije ifike Tanzania hakika tutakuwa kwa Mungu baba mwenyezi tukifanya usafi bustanini kwa malaika
Huku hata wasingepata shida kutoa hela zote hizo...hata wangesema watoto wawili laki5 ,ndani ya miaka miwili wangezalisha watu wengi sana😂😂
 
Back
Top Bottom