International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ulinzi wa Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya. Doumbouya anahudumu kama Rais wa mpito tangu Oktoba 2021 baada ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Alpha Condé. === Ukistaajabu ya Bola...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Askari aliyeua kijana na kusababisha maandamano na machafuko huko nchini Ufaransa kachangiwa zaidi ya dollar million 1(zaidi ya billion 2 za bongo) katika kampeni ya kumchangia iliyozinduliwa...
7 Reactions
91 Replies
5K Views
Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17. Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Nina uhakika ufaransa watakuwa wanatamani sera za Donald trump,kuhusu wahamiaji, hakika ukicheza na mwafrika na mwarabu utavuna mabua. Nini chanzo cha vurugu? Kuna mwarabu kutoka kaskazini mwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kinachonekana kwenye hii vita ni vita kati ya mwenye silaha nzito na hasiyekuwa na silaha nzito.ila hapo hapo inaonekana ni Vita kati ya wenye ujasili na wasiokuwa na ujasili. Jeshi la Sudan lina...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Makamu wa Rais, Paul Mashatile, amelaani kitendo cha maafisa wake wa ulinzi kumshambulia Raia baada ya video ikiwaonesha maafisa hao wenye silaha wakimkokota mwanamume mmoja kutoka kwenye gari, na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila mwaka Urusi hufanya maonyesho ya ubabe wa ndege zao, ila mwaka huu imebidi waghairi maana anga yao sio salama, drones za Ukraine zimekua zinatamba hadi ikulu, hivyo hamna namna... Yet...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tangu uvamazi wa Urusi uanze nchini Ukraine na vita iliyofuatia yamekuweko maneno ya kujifariji kutoka kwa baadhi ya proRussia kwamba Urusi anapigana na US, West au hata NATO(Mataifa 30). Huu ni...
32 Reactions
94 Replies
5K Views
Interesting... Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Japani isha ona USA anawaingiza Chaka wenzake ilihali yeye akineemeka na vikwazo, Sasa imebidi wajisalimishe wenyewe. Kuitenga Urusi ni vigumu sana,
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Nyambizi titan iliyopotea kwa siku 5 sasa, ikiwa na abiria 5 mabaki yake yapatikana na walinzi wa pwani. Chanzo BBC ====== Mabaki yameonekana kwenye eneo la utafutaji wa nyambizi ya Titan...
7 Reactions
53 Replies
9K Views
https://gagadget.com/en/war/271396-ballistic-iskanders-hypersonic-kinzhals-and-strategic-kh-101-kh-555-ukrainian-air-force-destroys-157-missiles-in-a-mo/
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Trump hakutaka masihara katika sera ya uhamiaji (Immigration). Jamaa hakutaka huruma katika borders zake haswa south border panapo pakana na Mexico. Jamaa alifanya green card iwe hadimu na...
8 Reactions
72 Replies
9K Views
Kutokana na skendo za Unyanyasaji wa kingono kwa Watoto, zaidi ya waumini 520,000 walitangaza kuachana na kanisa katoliki kwa mwaka 2022, hili ni ongezeko la 44% ukilinganisha na waliojitenga na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea. Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndege za Marekani mbili zatimuliwa kama mbwa koko baada ya kuingia kwenye anga la Urusi. Kwa dharau mrusi akatuma ndege moja kuzifusha ndege za mbili Marekani. Ndege iliyotumwa ni aina ile ile ya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kiongozi wa upinzani nchini humo, Ousmane Sonko ametoa wito kwa umma kujitokeza kwa wingi mitaani kupinga Rais Macky Sall kuwania muhula wa tatu, jambo linalotajwa kuikiuka Katiba ya Senegal Rais...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
1.Australia ni bara pia ni nchi. Ni bara dogo kuliko yote duniani, na ni kisiwa kikubwa kuliko vyote katika Sayari Hii. Ni Kisiwa kilichoko kusini mashariki Mwa Dunia. Mji mkuu unaitwa Canberra...
8 Reactions
21 Replies
11K Views
Yuval Noah Harari says “non-organic entities” and “emotionless algorithms” will soon dominate Earth, in other words, AI takeover is coming soon Tuesday, June 13, 2023 An Israeli-born World...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom