Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi wa kwenda Polisi kuripoti kuibiwa kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake lakini kibao kikageuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha...
Kwa ufupi ili uwe superpower lazima uwe na nguvu kubwa kiuchumi na uwezo wa "ku project" power/kuipeleka nguvu yako katika eneo kubwa zaidi la dunia kwa njia mbalimbali.
Taifa pekee lenye uwezo...
China yakana kuuza nyama ya binadamu Afrika
Nyama ya mkebe kutoka nchini China
Wizara ya maswala ya kigeni nchini China imekana ripoti kwamba kampuni za chakula nchini humo zinaweka nyama ya...
Hii picha inaonyesha namna jengo limepigwa japo Warusi wanajigamba kwamba sio issue kubwa, yaani wamepigwa mjini kati na kataifa kadogo hapo jirani, supapawa hoyeee!!!
A damaged building...
Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane kusini magharibi mwa Nigeria
AFPCopyright: AFP
Takriban watu 8 wamethibitishwa kufariki kutokana na mlipuko wa lori la mafuta katika...
Jamaa ana mjomba wake alikuwa fundi kushona nguo kiwandani huko Kenya sasa katika harakati za maisha akaanza kuchelewa nyumbani, kutokula chakula cha mke wake na maisha yake na familia kuanza kuwa...
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (BoZ) aliyethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo, amewataka Wananchi kutojibu ujumbe wowote utakaotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo hadi hapo...
Uamuzi huo wa Bunge la Knesset, utabadilisha mfumo mzima kiutendaji wa Mahakama Nchini humo pamoja na kupunguza Mamlaka yake, licha ya maandamano makubwa kutoka kwa upinzani wanaopinga mabadiliko...
Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya...
Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa....
POLAND has sent troops to their border with Belarus to...
Matajiri wa Urusi wapo kwenye hali ngumu sana, wanauawa kama senene....
40-year-old millionaire, suspected of having connections to Alisher Usmanov, dies in Russia
On July 22, businessman and CEO...
Kulikuwa na suala la kupata ndege za kivita ili kupeleka Ukraine zikasaidie kupambana na Urusi. Nchi zote zikaingia baridi, halafu Marekani ikasema inafanya majadiliano na Poland ili ikubali...
The Ukrainian Air Force has reported that the Russian forces fired 19 missiles of various types, including five Oniks cruise missiles, on Odesa Oblast overnight on 22-23 July. Ukrainian air...
Putin amekua akichora mistari na kusogesha magoli ya mikwara, juzi alisema Ukraine wakipewa cluster bombs hapo mstari utakua umevukwa na atafanya kitu, haya sasa wamepewa na zinatembeza kichapo...
Haieleweki nani anawamaliza na kwa nia gani...
Hawa oligarch ndio huwa wamemuweka Putin mjini kwa hela yao....
Russian Billionaire Igor Kudryakov — US Times Post/File
At the age of 64...
Given the chance to impose a judgement on those who are by design depopulating the World using various methods including vaccines which have brought extreme suffering to humanity,this is is what...
Maamuzi ya hii mahakama yanasubiri utekelezaji wa kumakamata yule wanaemwita mhalifu Hadi atoke nchini mwake.
Yanaitaka nchi atakayoitembelea mhalifu huyo ambae mara nyingi ni wahalifu hao hua ni...
Cha kwanza Felix anajua Moise Katumbi ana asili ya kiyahudi. Kwa hiyo akili zao anazijua vizuri.
Cha pili Felix anaona umoja wa ulaya pamoja na marekani pamoja na baadhi ya nchi hapa afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.