Poland yatuma wanajeshi mpakani licha ya Putin kulia lia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,674
48,446
Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa....

POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank.

Vladimir Putin responded to the military move with a chilling Stalin-style threat that promised to "remind them" of their place using "all the means at our disposal".
Poland's Security Committee decided to transfer troops to the border over concerns of the build up of Yevgeny Prigozhin's Wagner mercenary army.

The move was prompted by Belarus' decision on Thursday to hold the joint drills between their special forces and Wagner troops only three miles from the Nato perimeter.

Zbigniew Hoffmann, secretary of the committee, said the exercises are "undoubtedly a provocation".

Polish residents near the border region reported hearing shooting and helicopters.
 
Weka video ya Putin akilialia
 
Watu walidhani Urusi ana jambo la kutisha watu kumbe hakuna kitu. Kila rafiki zake wakimwangalia anavyotoa ulimi nje hapo Ukraine, wanaenda kuchekea ndani.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
dogo Poland anafatwa atake asitake we tuliza ball, Ukraine kisha malizwa amebaki kurusha Rushall visilaha alivyo baking navyo.

Kwa tarifa yako kule Odesa zile ni silaha za Nato zimeisha malizwa walikuwa Nato wanapeleka silaha
kwa siasa ya biashara ya ngano mchezo huo Mrusi kaushtukia.

Hivi dogo uko wapi dunia nzima wanasema Ukraine karibu watanza vita wenyewe kwa wenyewe sababu hakuna mwanaume akawachwa analazimishwa aende kwenye frontline.

Hivi hujui wanaopigana kule Ukraine kwa sasa ni wa Polish na Wagermany.

Hata waziri wawn
je wa US amekiri hayo afu Poland aingie vita na Mrusi unaota wewe au.

Poland uharo unamtoka bada ya Putin kuwambia ardhi ya Mrusi walipewa zawadi Stalin afu aishambilie Belarus hakuna nchi inawezapigana vita na Mrusi sio Nato au vichaa wengine.
 
Usichokijua kwenye hizi nadharia zako ni kwamba Poland ni mwanachama wa NATO, kumgusa utakua umegusa NATO, ukizingatia Urusi imeteswa na kataifa hapo jirani hebu waza je NATO wakiingia kwenye vita si ndio Urusi itafutwa? Kumbuka ndani ya NATO kuna mataifa kadhaa ambayo hayahitaji kuwa kwenye muungano, yenyewe yana uwezo wa kuisambaratisha Urusi bila msaada.
 
Usichokijua kwenye hizi nadharia zako ni kwamba Poland ni mwanachama wa NATO, kumgusa utakua umegusa NATO, ukizingatia Urusi imeteswa na kataifa hapo jirani hebu waza je NATO wakiingia kwenye vita si ndio Urusi itafutwa? Kumbuka ndani ya NATO kuna mataifa kadhaa ambayo hayahitaji kuwa kwenye muungano, yenyewe yana uwezo wa kuisambatatisha Urusi bila msaada.
We dogo hivi unadhani Ukraine alipigana peke yake 😂 Nato yote imo pale Ukraine wameishiwa silaha hawana tena silaha za kumpa Ukraine mpaa wanamtumia sasa clusterboom hawajui wanafanya Big mistake Russia anaweza kutumia hata Nuclear .We kaa unaota Ukraine anapigana vita na Mrusi sisi tunajua anapigana na Nato.
 
We dogo hivi unadhani Ukraine alipigana peke yake 😂 Nato yote imo pale Ukraine wameishiwa silaha hawana tena silaha za kumpa Ukraine mpaa wanamtumia sasa clusterboom hawajui wanafanya Big mistake Russia anaweza kutumia hata Nuclear hapo.

We kaa unaota Ukraine anapigana vita na Mrusi sisi tunajua wazi Mrusi anapigana na Nato.

Ndivyo mnakaririshana huko, Ukraine imeisaidiwa tu visilaha na kwanza hata haijapewa aina ya za kiwaki waki ambazo zingemaliza hivi vita mapema, Urusi ifanye kosa la kugusa taifa la NATO hata moja, kwa sasa imepoteza wanajeshi zaidi ya 200,000 kwa kataifa kadogo hapo pembeni, je NATO wakitua itakuaje.......
Urusi imesalia na manyuklia tu, na hawawezi kuyatumia maana watafutwa duniani, hayo manyuklia kwa sasa ni midoli tu, ila silaha zingine zote hata hypersonic zote zimekua zinapanguliwa.....hehehe
 
Dogo Mrusi si kichaa ka US angetaka kumaliza vita hata siku moja angemaliza kwa kutumia Nuclear

Ukraine washukuru sana Putin anahuruma na anacheza nao kidogo kidogo.

Siri zitajulikana tu vita vikisha kuwa Nato yote ilikuwa inapigana na Mrusi.
 
Niliogopa sana Urusi kabla haijapata hii aibu ya Ukraine, yaani kwanza wakati hivi vita vinaanza nilijua ndio mwisho wa Ukraine, nilipoona ule msafara nikakosa usingizi, ila ulivyopigwa na wabeba javelin nilipata raha hadi nikaumwa.
Urusi hunikumbusha shuleni enzi zile kuna mwamba mrefu mnene tulikua tunamwogopa sana, siku moja akaingia ugomvi na kajamaa kebamba kadogo, aisei tulishangaa kwa namna alipata aibu kwa hako ka jamaa, kuanzia hiyo siku ikawa kila mtu anamchokoza na kumkalisha......
Leo hii hata JWTZ ikijitutumua inaweza kuipa Urusi shida....hovyo sana hehehe
 
Usichokijua kwenye hizi nadharia zako ni kwamba Poland ni mwanachama wa NATO, kumgusa utakua umegusa NATO, ukizingatia Urusi imeteswa na kataifa hapo jirani hebu waza je NATO wakiingia kwenye vita si ndio Urusi itafutwa? Kumbuka ndani ya NATO kuna mataifa kadhaa ambayo hayahitaji kuwa kwenye muungano, yenyewe yana uwezo wa kuisambatatisha Urusi bila msaada.
Huyo Ukraine anasaidiwa na US UK Germany sweden belgium canada france etc sasa huyo NATO unaemuongelea hapa wa kumtisha Putin ni yupi?
 
Niliogopa sana Urusi kabla haijapata hii aibu ya Ukraine, yaani kwanza wakati hivi vita vinaanza nilijua ndio mwisho wa Ukraine, nilipoona ule msafara nikakosa usingizi, ila ulivyopigwa na wabeba javelin nilipata raha hadi nikaumwa.
Urusi hunikumbusha shuleni enzi zile kuna mwamba mrefu mnene tulikua tunamwogopa sana, siku moja akaingia ugomvi na kajamaa kebamba kadogo, aisei tulishangaa kwa namna alipata aibu kwa hako ka jamaa, kuanzia hiyo siku ikawa kila mtu anamchokoza na kumkalisha......
Leo hii hata JWTZ ikijitutumua inaweza kuipa Urusi shida....hovyo sana hehehe
😂 dogo unadhani Mrusi aliondoa majeshi si Ukraine alijidai atakubali masharti ya Mrusi ili atoe majeshi yake.

Angalia Nato wanavyo lia lia
 
una akili nyepesi sana
na huo mfano wako kila siku una utoaga ukijua kwamba utaeleweka.
sikia nikwambie hizo akili zako bado sana
maana unakurupukaga sana
 
😂 dogo unadhani Mrusi aliondoa majeshi si Ukraine alijidai atakubali masharti ya Mrusi ili atoe majeshi yake.

Angalia Nato wanavyo lia lia

Aliangukia pua yaani, hehehe nilicheka sana, kapigwa na kitu kizito hakutarajia.....sijui nani kamdanganya Putin unaweza kuiparamia nchi ya watu kama kwako sebuleni...
 
Back
Top Bottom