kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Cha kwanza Felix anajua Moise Katumbi ana asili ya kiyahudi. Kwa hiyo akili zao anazijua vizuri.
Cha pili Felix anaona umoja wa ulaya pamoja na marekani pamoja na baadhi ya nchi hapa afrika zimuunga mkono katumbi kwa hiyo wanaweza kutumia uwezo wao huo kuwapa rushwa tume ya uchaguzi kikatokea kilichotokea mwaka 2018.
Cha tatu Katumbi ni Tajiri mkubwa pia anaweza kutumia uwezo wake kuchukuwa madaraka.
Cha nne Katumbi ni popular saana nchini anaweza kutumia ushawishi wake kufanya mapinduzi.
Anacho kifanya Felix ni kitu gani ni kutafuta ni jinsi gani atakavyo mpa moise katumbi kesi yeyote ile mbaya ambayo itaweza kuzuia katumbi kugombea urais au kukimbia ndani ya nchi au kuwawa na wananchi wenye asira kali.
Na cha mwisho kinacho mpa wasiwasi felix kwasasa ni ushirikiano wa Joseph Kabila na Katumbi watu ambao walikuwa maadui kwanini wameungana tena.