Bunge la Israel lapiga kura ya Kupunguza Mamlaka ya Mahakama Kuu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1690207447468.png
Uamuzi huo wa Bunge la Knesset, utabadilisha mfumo mzima kiutendaji wa Mahakama Nchini humo pamoja na kupunguza Mamlaka yake, licha ya maandamano makubwa kutoka kwa upinzani wanaopinga mabadiliko hayo.

Mazungumzo ya dakika za mwisho kutafuta mwafaka wa suala chini ya Rais wa Nchi hiyo, yalishindwa kuizuia Serikali ya mrengo mkali wa kulia inayoongozwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuendelea na hatua za kupata maamuzi ya Kura hiyo.

Mapendekezo yaliyopo kwenye Muswada wa Sheria hiyo yataruhusu Bunge kubatilisha uamuzi wowote wa Mahakama Kuu hasa kwenye masuala yanayohusu Serikali, pia Bunge litakuwa na uamuzi wa mwisho katika kuchagua Majaji.
 
Back
Top Bottom