International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
https://youtu.be/veuB84axpCc?si=ZnVWZA9ORNMe8NjB
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Mzuka Wanajamvi. Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Tazama Video hapo chini inayoonesha kiwango cha uharibifu wa nyumba na miundombinu mingine kaskazini mwa Gaza ikiwa ni matokeo ya mashambulizi ya Israel. Kiwango hiki cha uharibifu nakifananisha...
1 Reactions
9 Replies
937 Views
Na wataendelea kufa mpaka wao wenyewe wajue adui wao ni HAMAS, ndiye kawaletea haya masaibu kwa kuchokonoa Wayahudi, kwa kifupi HAMAS iachie Wapalestina wajiongoze kwa amani.... Israel is...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma...
7 Reactions
74 Replies
4K Views
Uongozi wa Hamas imesema wametoa OFA kwa Israel ya mabadilishano ya Wafungwa wa Kipalestina na miili ya Wanajeshi wa IDF waliouawa vitani lakini Wayahudi hao wamekataa Hamas wamesema Ofa yao bado...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Wanaukumbi. BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto. BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka. Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Shirika la Saudi Arabia limesema moja ya ndege zake aina ya Airbus A330 ilihusika katika "ajali" baada ya video kuionyesha ikiwa moto kwenye lami katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Viongozi na watanzania kuna jambo la kujifunza kutoka nchi jirani ya rwanda Barabara zao ni nzuri na hazina matuta Camera zimewekwa barabarani ilii watu waendeshe kwa kufuata sheria Boda boda...
5 Reactions
6 Replies
574 Views
Nimeshuhudia mapokezi ya King Charles III huko Dubai kwenye mkutano wa Tabia Nchi, hakika Waarabu ni Watu wa kujipendekeza na Ndumilakuwili sana Yaani Viongozi wa UAE walikuwa wanagombania...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Ikiwa wewe ni mpya kwa upinzani wa Palestina, labda tayari unajua kuhusu Hamas, lakini jiulize PIJ ni nani. PIJ (Palestinian Islamic Jihad) na Hamas zote ni vikundi viwili vikubwa...
3 Reactions
87 Replies
4K Views
Source: Bloomberg Subscribe China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy —...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama inavyojulikana kuwa mateka wa nchi za nje huwa wanaachiwa tu kwa kushtukiz kwani Hamas hawakuwaingiza kwenye mashari yao ya kusitishwa vita, Siku mbili za mwanzo wameachiwa waisrael wengi wao...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
My Take :Je, Kusimikwa kwa Sinagogi la kiyahudi huko Gaza na vikosi vya Israel kibabe ni dalili za Hamas kushindwa umiliki wa Gaza? Sinagogi ni hekalu la wayahudi la kuabudu! .... IDF soldiers...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”. When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…