johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,030
Nimeshuhudia mapokezi ya King Charles III huko Dubai kwenye mkutano wa Tabia Nchi, hakika Waarabu ni Watu wa kujipendekeza na Ndumilakuwili sana
Yaani Viongozi wa UAE walikuwa wanagombania kubusu Mikono ya Charles III
Kiukweli kama Hamas walikuwa wanawategemea hawa basi wamekwisha!
Historia inasema Uingereza imewahi Kutawala huko Palestine
Sabato Njema 😄